Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali

2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.

3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?

4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea

5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

7.

Itaendelea
Aisee, hawa vibosire walikuwa wanapeleka wapi pesa zao?ila siwalaumu kwani hata Mwalimu Nyerere alikopa mkopo kujengea nyumba yake ya Msasani ambayo alishindwa kuilipia mkopo wake na kuikabidhi kwa serikali ikitumika kama Ikulu ndogo ya Msasani(watoto wa jana hawajui pale kwa Mwalimu Msasani palitumika kama ikulu ndogo hadi serikali ilipomlipia deni) na yeye kukabidhiwa nyumba yake. Na hata alipojengewa Butiama akawa nasema hili jumba lote kwani mimi tembo na hakuishi sana kwenye mjengo ule,mauti yakamchukuchua mzee wa watu. Siku hizi watu wana mahekalu utadhani hoteli za nyota tano sijui wanajigawa vipi kulelea kwenye mahekalu hayo yaliyotapakaa kila sehemu huku umri ukiwapa mgongo, sijui watayapeleka wapi. Yatupasa tuishi maisha ya kiasi.
 
Kuna wengine yeye hana nyumba anaishi nyumba ya kupanga .Halafu anamjengea mwanamke nyumba .
Huyu fala ni Marehemu Ruge Mtahaba , I am very sorry to Mzee wangu Professor Mutahaba.
Jamaa alimjengea nyumba zamaradi ambaye kashaiuza hiyo nyumba pesa kanunulia Gari.
Nandi alikuwa anamjengea nyumba kafariki kabla hajaimaliza .
Msiba wa huyu jamaa ulifanywa nyumbani Kwa baba yake .
 
Nasoma mapovu.

mdukuzi piga spana hao wasopenda kujenga..

Ukiupdate list nitag, usisahau kuongezea na hawa members wanaotoa mapovu kama Miss Natafuta
Kuna wengine wana magorofa mijini lakini kwao hata kibanda cha kuku hawana,inakuwa aibu kwa ndugu na jamaa pale Israel akisha mwita sasa ile tumpeleke tumpeleke kijijini wanakuta mwembe tu, mwishowe inakuwa usumbufu kwa waliomleta wanakosa hata pa kwenda haja. Kujenga nyumbani ni muhimu na lazima ili kuepusha familia kuonekana haina kwao, sisi ni Waafrika bana kila mtu ave na kwao( sauti ya mwimbaji marehemu Tongolani wa bendi ya Mwenge Stars iliyokuwa Monduli alikuwa chinga)
 
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali

2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.

3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?

4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea

5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

7.

Itaendelea
Kujenga ni kujitafutia fitna na kijicho na jamii...
 
Mzee alikuwa mzalendo,bingwa wa kuhamasisha ndiyo maana mtoto analamba asali za uzalendo.
Pia alikuwa mzee wa kuupiga mwingi sana kwa totoz wa vikundi vya ushereheshaji vilivyokuwa chini ya chama cha kijani, alikuwa anahamasisha kwelikweli totoz. Mzee alijienjoy sana enzi zake, si mnajua totoz za kishereheshaji zinavyokata mauno, bosi lazima imani ikutoke inabaki unatoa amri tu kwa chawa kuwa yule atangulie kulee.
 
Siyo lazima kila mtu ajenge nyumba. Wengine watabaki wapangaji maisha yao yote
Hivi miji kama Tokyo, new York watu wanawaza kujenga kweli?
Hao wote hawana kwao mkuu ndio maana wanafia kwenye maghorofa magofu, lofa huwezi kumiliki nyumba NYC,Tokyo. Miji hiyo wenye uwezo wa kujenga nyumba zao ni sampuli za akina Trump,Bill Gate na wengineo. Usifananishe paka na chui mkuu
 
Wahindi mbona hawana nyumba ?

Unabidi kuishi Maisha mazuri Kama wahindi unakaa Apartment huku bank ukiwa na Pesa zako za kutosha na Biashara zilizosimama , so Mimi nampongeza Kanumba kwa kuishi Maisha standard ambayo ndo ndoto za kila Kijana mwenye akili.

Kama unajenga Jenga nyumba Kuanzia mil 500+ na sio huu uchafu mnaojenga watz wa vyumba vitatu au vinne kama sio viwili huku mna watoto kumi
Kwani wewe nawe ni mhindi, mhindi hajengi kwa kuwa hapa sio kwao,yeye anapita tu,yuko njiani kwenda Cananda na Uingereza hapa anatafuta fursa tu na pasipoti
 
Yaani wewe umeonaa bweni ndio kuna nyumba nzuri. Mbona watu wana mijengo ya maana Kinyerezi, goba, salasala etc

Mkuu nimechukua sample tu hata Tandale kwa mtogole kuna baadhi ya watu wana mijengo ya maana.

Nimechukulia Mbweni JKT kwasababu ya kule katika nyumba 100 unaweza ukakakuta tatu ndiyo design kama nyumba ya Le mutuz mingine yote ni "Milosheni".
 
Huyu nae si mkweli naijua vizuri sana Sinza, White inn haipo opposite na alipokuwa anakaa Kanumba
Weee na chenga tu...kutoka Vatican alipokuwa anaishi kanumba na white inn Kuna mwendo gani?

Huyo nimemuelekeza ili iwe rahisi kupajua!
 
Back
Top Bottom