Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Ss si kila mtu na life lake ww una nyumba mbili na unakomaa na hela ya kula but mm napanga ila hela ya kula maisha hainipigi chenga nna ndinga safi bora nani na ukifa watu watazirith izo nyumba zako kufanyia hayo uliyoyaelezea hapo bora nn ss
Hahaahaaaaa, yaani mwanaume mzima unasema na kujivunia mbele ya wanaume wenzio kuwa una pesa ya kula na gari. Very funny, inawezekana Bado u mdogo na ndio unaanza maisha. Pole, nashauri tu bro jitahidi ufanye uwekezaji ili usiseme Tena mbele za watu kuwa una hela ya kula na kununua gari. Ni aibu kwani wengine tulishatoka huko na sasa tuna permanent assets na investment ambazo hata tukilala mauti Leo najua akina Manka wataziendeleza na kuishi.
 
Kiukweli ni aibu sana unafikisha umri wa 30+ una kipato friji, kabati la vyombo, na madumu ya maji yapo sebuleni,. Viatu na nguo chafu bado unakaa navyo chumba cha kulala

Sema ni mungu tu tunapenda kujenga tatizo hesabu
Si kila anaeishi nyumba ya kupanga anaishi nyumba ya hovyo.
 
Huo ndo umaskin wa kiafrika kukariri kujenga mbona wahindi wanapanga ila business zake zko fresh ishu sio kuwa na asset tu n nyumba kuna vitu vingi tu sema hujaishi nchi tofaut tofaut
 
Huo ndo umaskin wa kiafrika kukariri kujenga mbona wahindi wanapanga ila business zake zko fresh ishu sio kuwa na asset tu n nyumba kuna vitu vingi tu sema hujaishi nchi tofaut tofaut
Wahindi wana discipline sana ya maisha tofauti na sisi weusi,sisi huku usipowaachia mji watoto mwaka mmoja tu wanakuwa chokoraa
 
Ulishangaa nini sasa... Kuna watu wakifa mnafurahia maisha yao na waliyoyaacha....

Wengine mkifa kama nyie watu wanalia kwa mizigo mliyowaachia..

πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Jipangeni mapema..
 
Upuuzi mtupu huu. Ukijenga nyumba au jumba siku ukifa unazikwa nalo kaburini???

Ndugu yangu, jitahidi sana ujenge mahusiano yako wewe na MUNGU kabla ya kufa. Hilo ni muhimu sana kujenga na siyo nyumba. Jenga roho yako iwe njema, weka hazina yako Mbinguni maana ilipo hazina yako, ndipo na roho yako itakapokuwa.
 
Kuna watu wamezaliwa kijijini, Kujenga nyumba ni kukitafuta kifo chako.

Msipende sana kuhukumu.
 
Kwa hiyo Omar Juma kabla ya kupata u VP alikua anaishi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…