Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Watu hawafanyii misiba kwao kwasababu ya vijicho na husda. Watu washapoteza kazi kisa watu wemeona mijengo yao na kupeleka majungu makazini.
Misiba inapelekwa kwa ndugu buguruni huko mpate cha kusema.
Rrondo uliloongea ni bonge la neno yaani. Sijui Wabongo tutabadilika lini? Tunarudishana nyuma na kufanyiana husda sisi kwa sisi. Hii inaonesha fika 98% ya Watanzania wote ni masikini na wamekulia kwenye umasikini na shida(makadirio).

Tabia za majungu mara nyingi ni za masikini na vijana waliokulia kwenye njaa.(mtazamo)
 
Chilo ja jb wapo tbt wamepanga. JB Mungu masaidie, mke wake kibopa sana
Mzee chilo ana nyumba Mbezi ila sijui nini kinamfanya apange,zamani alikuwa amepanga pale maeneo ya Sinza palestina na nyumba anayo tu kitambo,nyumba aliyokuwa amepanga pale mitaa ya Palestina pia kulikuwa na Zembwela na yeye alikuwa ana nyumba Mbezi ila na yeye kapanga nyumba moja na mzee Chillo sikuwahi kuwauliza kw undani kwanini waliamua maamuzi yale..
 
Ha ha ha ha ha hiyo namba 6 unavisa nae umesema waliokufa km sikosei sasa ghafla kwa namba 6
 
Unaogopa nn mkuu hao vijana wa miaka iyo n wezi nn
 
Mkuu hadi sasa nyoshi sadaat anaishi white inn??[emoji15][emoji15][emoji15]

Nilikuwa la sita kipindi hicho tukitoka tuisheni anapiga mziki pale B bar, then ndo nikamwona hiyo mitaa ya white inn daily...kumbe hajahama?

Afu huwa nadhan ray yule mtoto wake na chuchu ndo huyo huyo kumbe anao kibaoo?[emoji848]
 
Tutaaminije lete piga picha Hati yako ya nyumba
 
mijitu na umaarufu na mahelakibao hayajengi.Masikini mwenye kipato cha milioni3 kwa mwaka amejenga dah.
 
Tehetehe
 
Bado yupo sinza white inn.Huu mji mdogo hakuna pa kwenda😂😂😂tunabanana hapa hapa mpaka Israel mtoa roho atakapofanya kazi yake iliyomleta hapa duniani

Enzi za B bar ikiwa kwenye peak ulikuwa la sita!?kumbe uzee Bado😂😂😂 kabisa,vipi lakini na wewe umeshajenga?
 
Naishi kwa sista angu sinza mori nagombania remote na ugali wa shem!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…