Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali


2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.


3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?


4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea


5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

7.

Itaendelea
Kwani nani alikuambia duniani in makazi ya kudumu? Sisi wote tunapita sasa tujenge ili iweje?
 
Upuuzi mtupu huu. Ukijenga nyumba au jumba siku ukifa unazikwa nalo kaburini???

Ndugu yangu, jitahidi sana ujenge mahusiano yako wewe na MUNGU kabla ya kufa. Hilo ni muhimu sana kujenga na siyo nyumba. Jenga roho yako iwe njema, weka hazina yako Mbinguni maana ilipo hazina yako, ndipo na roho yako itakapokuwa.
Kwani ukijenga huwezi kuwa na mahusiano mazuri na Mungu? T
 
Mimi nilinunua kiwanja mwaka 2014 nikiwa na miaka 24 hapa Dar es salaam, hapa kitaa ndio nakaeneo kakubwa saizi kumejengeka majirani wanakazi yakutaka kuiba hataua mimi pia nipo nishajenga since 2016 nikiwa na umri wa 26 yrs, nikiwaona vijana wa miaka 24 hadi 28 naogopa sana,,,
 
Unadhani kabla ya kuwa VP alikuwa machinga?nyumba za serikali kazi yake nini?
Daktari wa mifugo kabla ya kuwa VP alikuwa Waziri Kiongozi 1988-1995, kabla ya hapo alikuwa Karibu Mkuu Wizara ya Kilimo.
Mpaka anaondoka duniani alikuwa anamiliki nyumba maeneo ya Mpendae opposite na kwasasa ofisi ya BARAZA LA MANISPAA MAGHARIBI B.
 
Daktari wa mifugo kabla ya kuwa VP alikuwa Waziri Kiongozi 1988-1995, kabla ya hapo alikuwa Karibu Mkuu Wizara ya Kilimo.
Mpaka anaondoka duniani alikuwa anamiliki nyumba maeneo ya Mpendae opposite na kwasasa ofisi ya BARAZA LA MANISPAA MAGHARIBI B.
Amekula nchi kutojenga dar uzembe wake
 
Back
Top Bottom