Orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi ya ukurugenzi TPDC

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC.

Mimi naanza na hawa wawili

1. JAMES MATARAGIO

2. JACKSON DULLE
Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama Tanzania wanaweza kumlipa.











Namempendekeza huyu bwana kwasababu ana exposure na makampuni ya kimataifa, anauzoefu kwa kufanya kazi na makampuni ya kimataifa ya mafuta na gesi.

Kama una jina lingine liweke kwenye hii list

2.

3..............

Endeleza list hapo
 
Kuna kitu hujaelewa, gas na mafuta yanataka mtu anaeielewa hiyo sector kwanza, namaanisha hii sekta bado ni changa hapa kwetu hivyo lazima kwa sasa anaeteuliwa awe na background ya mafuta ama gas ama hata geology.

Hiyo ni kwa sababu bado sera nyingi zinatakiwa kutungwa na hivyo lazima awe ni mtu anaejua hiyo sekta kishule na kikazi.

Kuleta tu mtu kisa kafanya kazi na makampuni ya mafuta haitaleta mabadiliko yoyote na wala haitasaidia.
 
Dah CV yake ni nzuri Sana, bora apewe huyo aonyeshe ubunifu wake huyo mataragio apumzike
Tunawatanzania kibao wengi wapo nchi za nje huko wanaweza kuleta exposure katika taifa letu
 
Ndio maana nikasema tupendekeze majina ili tuwe na list ya majina kabisa.
 
Aliyepo ni jembe. Anatosha kwa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…