Orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi ya ukurugenzi TPDC

Orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi ya ukurugenzi TPDC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).


Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.

Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama ifuatavyo:-


ELIMU:-

· Masters in Business Development (MBA), Chuo Kikuu cha Charlotte, North Caroline, Marekani (2008)

· PhD (Geochemistry, Mineralogy, Structural Geology and Petroleum Geology), Chuo Kikuu cha Missouri – Rolla, Missouri, Marekani (2005)

· MSc (Geochemistry and Petrology), Chuo Kikuu cha Okinawa, Japan (1997)

· BSc(Hons) (Geology), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1994


UZOEFU WA KAZI:-


· Mwaka 2004 – hadi sasa, Senior Geoscientist, Bell Geospace Inc, Houston, Texas, USA

· 2001 – 2004, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Missouri, wakati akisoma Shahada ya Uzamivu

· 2000 – 2001, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

· 1999 – 2000, Meneja Mradi, Anglo Gold (Buzwagi)

· 1994 – 1999 -, Exploration Geologist, Anglo America Corporation.


Miongoni mwa makampuni makubwa ya kimataifa ya mafuta na gesi aliyofanya nayo kazi kwa niaba ya mwajiri wake Bell Geospace ni pamoja na Petrobras (Brazil); BP; Anadarko; Tullow; Pemex (Mexico); ANP (Brazil), Ecopetrol (Colombia); Petronas, (Malaysia) na Vale Rio Doce.


Aidha, Dkt. James P. MATARAGIO ni mmoja wa wataalam wa sekta ya madini, mafuta na gesi asilia waishio Marekani (Diaspora) ambao walijitolea kuishauri Serikali kuhusu sekta hiyo bila malipo.


Kwa kuzingatia elimu yake, uzoefu wake na uzalendo wake, Rais ana matumiani makubwa kuwa Dkt. James P. MATARAGIO ataleta nguvu mpya na uzoefu mkubwa wa kimataifa katika kuiongoza TPDC ili iwe kampuni kubwa ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia kama yalivyo makampuni mengine ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia duniani.
JK was the best
 
Dr. James Mataragio anatosha huyo namba mbili aangalie ukurugenzi hapo Total au Puma atatufaa kwa baadae.
 

Kwa faida ya wengi​

Source TPDC website

About TPDC​

Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is the National Oil Company of Tanzania through which the Ministry of Energy implements its petroleum exploration and development policies.

Objectives​


The objectives of the Corporation as laid down in the TPDC establishment order:​

  • To explore and produce petroleum
  • To carry out standard activities of an oil company including, distribution and storage facilities
  • To hold exploration and production rights
  • To contract, hold equity or participate in oil concessions, franchises and licenses
  • To manage parastatals or other legal entities transferred to the corporation
  • To develop an adequate industrial base for the oil industry

Roles of TPDC​


The roles of TPDC as defined by the July 2006 announcement by the Government are:​

  • To promote and monitor the exploration for oil and gas
  • To develop and produce oil and gas
  • To conduct research and development of the oil and gas industry in the country
  • To manage the exploration and production data
  • To advise the Government on petroleum related issues
  • To market and sell natural gas under PSA arrangement
  • To undertake the management of strategic fuel reserves and
  • To undertake trading in petroleum products
 
mama D DG wa sasa ni jeuri tena jeuri kweli kweli, kwa jina lingine tunaweza sema anajiamini kwa kila anachofanya kinachotokana na taaluma yake. Watu wanamhofia sababu hapelekeshwi, Fisi wote wanaiangalia TPDC ndio maana ukipita tu upepo unapita nae mara kwa mara.
 
Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC.

Mimi naanza na hawa wawili

1. JAMES MATARAGIO

2. JACKSON DULLE
Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama Tanzania wanaweza kumlipa.

View attachment 1743847

View attachment 1743848

View attachment 1743851

View attachment 1743852

View attachment 1743853

Namempendekeza huyu bwana kwasababu ana exposure na makampuni ya kimataifa, anauzoefu kwa kufanya kazi na makampuni ya kimataifa ya mafuta na gesi.

Kama una jina lingine liweke kwenye hii list

2.

3..............

Endeleza list hapo
Mnapga Upatu

Mmekomaa Kabisa Kumchawia Mataragio
Mchawi sio mtu
 
Somebody Mafuru

Mafuru si alikuwa pale Hazina kama Tresury registrar Jiwe akamuondoa!! Huyu ana diploma toka IFM na MBA nadhani toka udsm[ sijui kama kamaliza]; Sasa Boss mambo ya finance na Gas wapi na wapi?
 
Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC.

Mimi naanza na hawa wawili

1. JAMES MATARAGIO

2. JACKSON DULLE
Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama Tanzania wanaweza kumlipa.

View attachment 1743847

View attachment 1743848

View attachment 1743851

View attachment 1743852

View attachment 1743853

Namempendekeza huyu bwana kwasababu ana exposure na makampuni ya kimataifa, anauzoefu kwa kufanya kazi na makampuni ya kimataifa ya mafuta na gesi.

Kama una jina lingine liweke kwenye hii list

2.

3..............

Endeleza list hapo
Kwanza, kwa nini uweke CV za kazi kwa kazi ambayo haipo au hajatangazwa. Hiyo CV sijaona sehemu ya uzoefu ambayo bodi makini itapoteza muda wake kumuajiri mtu kama huyo. Kwanza, kama unajuwa TZ hawawezi kumlipa, kwa nini usumbuke kuleta CV ambayo hata ingekuwa ni kazi ya Ukurugenzi wa HR TPDC asingewweza kuupata.

Chuo alikosoma ni kachuo kadogo wa kikatoliki na kinatoa B.SC. (computer Science). Je anayo masters?. Kazi alizofanya zinaonyesha haziendani kabisa na uongozi mkubwa kama wa TPDC. Je, ana chochote kuhusu madini au extractive industry? Naona mleta hili jina anadhani kwa sababu mtu kafanya kazi Ulaya/USA basi anaweza kuja TZ na kuwa kiongozi wa shirika kubwa kama TPDC. Mwambie huyo ndugu yako kama ni serious angalao apate kamsters moja ya kumuondolea inferiority complex hata kama angepewa hiyo kazi kwa lazima na ndugu yake. Otherwise, save him the embarrassment.
 
Ndio maana nikasema tupendekeze majina ili tuwe na list ya majina kabisa.
Hivi ndugu unajuwa kule Marekani kuna vyuo vinaitwa "diploma mills". Kama unajuwa hivyo unajuwa chuo kiitwacho Kaplan! Huyo mtu wako alisoma huko kwa sababu gani, wakati Marekani kuna maelfu ya vyuo vyene hadhi, yeye akakimbilia Kaplan University! Mbona ulikwepa kuionyesha hii kwenye CV. Je unajuwa maana ya temm lead na ina tofauti gani na team leader? Ukijibu hayo nitakuletea zaidi ama sivyo uliondowe hilo jina. Maana hilo jina likiendelea kuwepo tutaka kumjuwa zaidi kabla hatujampa kuongeza shirika letu la TPDC. Na sidhani atafurahia jinsi watu wanavyofukunyua elimu na uwezo wake.
 
Mleta mada huko serious mtu umempamba kwa CV ndefu iliyojaa fix huyo mtu wa HR umepeleleke bandari!!! kuwa CEO !! Huyo ni HR tu tena dogo you are not serious?
consultant siyo kazi. Consultant ni mtu anayetumiwa kutatua katatizo
Sasa mataragio mfano akafa nani atakaye mrithi mkuu? hili ndio lengo la huu uzi. Na ndio sababu nakusisitiza upendekeze jina lingine
Lakini siyo Dulle. Kama hayo ndiyo mawazo yako basi tulete CV za kazi zote kubwa TZ ili wakifa au wakistaafu tuchomoe. Hivi mmeisha anza kukusanya CV za mrithi wa Mbowe?
 
Haya mashirika makubwa huwa kigezo cha kwanza wanaangalia ni mtiifu kwa ccm?
ccm wanapotaka kuiba au wanapotaka hela kwa ajili ya mambo yao hela inatoka huko.
USA kuna CCM?
 
si tulikubaliana yule UVCCM aliyesoma evening class apewe u DG hapo TPDC...sasa imekuwaje tena?!
Tena tukaambiwa anao uzoefu wa kuuza mafuta petrol ya kupima kwa wanyonge waendesha bodaboda kwa zaidi ya miaka 20!.
 
Back
Top Bottom