Orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi ya ukurugenzi TPDC

Orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi ya ukurugenzi TPDC

Mleta mada huko serious mtu umempamba kwa CV ndefu iliyojaa fix huyo mtu wa HR umepeleleke bandari!!! kuwa CEO !! Huyo ni HR tu tena dogo you are not serious?
 
Swali linakuja kwanini hawamtaki huyu bwa Mataragio?
Au ndio wana jambo lao🤔🤔🤔
TPDC ndo kwenye utajiri wa nchi na mataifa. Kwa uwezo wake lazima wengi watakuwa wanamuona kizingiti. Ila Jiwe nae alizidi sana kumbana kiasi ambacho hatujaweza kuona matunda yake kwa haraka.

kikubwa mataragio apewe uhuru wa kutumia utaalamu wake kwa maslahi ya Shirika naTaifa.
 
Dah CV yake ni nzuri Sana, bora apewe huyo aonyeshe ubunifu wake huyo mataragio apumzike
Umtoe Matarajio.umpe HR ? hiyo CV mbona ndogo mno hiyo Ni mtu tu wa kawaida wa HR hata hapa ma HR kama yeye wako kibao kampuni za kimataifa zilizoko nchini zikiwemo kama za Delloite nk
 
Mleta mada huko serious mtu umempamba kwa CV ndefu iliyojaa fix huyo mtu wa HR umepeleleke bandari!!! kuwa CEO !! Huyo ni HR tu tena dogo you are not serious?
huyo sio HR mkuu, mkuu hebu google hizo kampuni alizofanya kazi. Na sidhani kama anaweza kukubali hata kurudi Tanzania kwasababu ya mshahara mdogo
 
Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC.

Mimi naanza na huyu bwana anaitwa

1. JACKSON DULLE
Kwa nafasi gani?
Kama unamaanisha ukuu kwenye idara ya iT au HR sawa, lkn Kama unaongelea nafasi ya DG hakuna kitu hapo.

Em kuweni serious basi. Ulishaona cv ya matarajio.?

Pale anatakiwa mtu aliyebobea kwenye petroleum/gas/geology.. siyo mambo ya iT na HR
 
Kwa nafasi gani?
Kama unamaanisha ukuu kwenye idara ya iT sawa, lkn Kama unaongelea nafasi ya DG hakuna kitu hapo
Ndio maana nimesema pendekeza jina lako ili tupate list, mimi hilo ndio jina nililopendekeza
 
huyo sio HR mkuu, mkuu hebu google hizo kampuni alizofanya kazi. Na sidhani kama anaweza kukubali hata kurudi Tanzania kwasababu ya mshahara mdogo
Kufanya kazi kama mesenger au HR kwenye kampuni ya Engineering hakukubadili kuwa Engineer na kufanya kazi kama HR kwenye hospitali Ulaya hakukugeuzi kuwa daktari unayeweza teuliwa kuwa mganga mkuu wa Hospitali ya Muhimbili.Mleta mada huyo.ni HR tena mdogo .
 
Soma vizuri hiyo CV kuanzia mwanzo hadi mwisho mkuu.
 
Kufanya kazi kama mesenger au HR kwenye kampuni ya Engineering hakukubadili kuwa Engineer na kufanya kazi kama HR kwenye hospitali Ulaya hakukugeuzi kuwa daktari unayeweza teuliwa kuwa mganga mkuu wa Hospitali ya Muhimbili.Mleta mada huyo.ni HR tena mdogo .
ni vyema upendekeze jina lako kama uzi ulivyo jieleza, bila kubishia uchaguzi wangu. lengo la uzi ni kupata majina kwaajili ya matumizi ya baadaye.
 
Umtoe Matarajio.umpe HR ? hiyo CV mbona ndogo mno hiyo Ni mtu tu wa kawaida wa HR hata hapa ma HR kama yeye wako kibao kampuni za kimataifa zilizoko nchini zikiwemo kama za Delloite nk
Naona CV yake nzuri mno na ana exposure kubwa pia kafanya sehemu tofauti tofauti,
 
Kigezo cha taaluma na uzoefu mkubwa sana kwenye sekta ya mafuta na gesi sio muhimu kihiivyo kwa DIRECTOR!
 
Tunawatanzania kibao wengi wapo nchi za nje huko wanaweza kuleta exposure katika taifa letu
Ni sahihi kabisa hata kikwete alikuwa anawatafta huko duniani na kuwaleta mtu mwenye international exposure ni rahisi kuleta mabadiko kwa taasisi, maana anakuwa amejifunza kutoka kwa wenzzetu walioendelea
 
Naona CV yake nzuri mno na ana exposure kubwa pia kafanya sehemu tofauti tofauti,
Kafanya sehemu nyingi tofauti kazi moja tu ya Humani Resource hakuna kitu hapo hata hiyo IT yake ni system ya human Resouce tu sawa tu na system za IT za human Resource Systems

kwa hiyo.messenger akifanya kazi kampuni mbalimbali za ulaya za mafuta na gesi afaa kuwa mkurugenzi mkuu wa TPDC?
 
Kwa sasa Dr. Mtarajio anatosha.
Tafuta cv yake uone
MATARAGIO namjua vizuri na namwelewa vizuri sana. CV yake yote ipo kichwani. Na wala sijamkataa ila nahitaji tuwe na list ya watu wengine kwani sio kwamba yupo peke yake, wapo wengi tu watanzania uko ulaya.
 
Back
Top Bottom