EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli hana shida, nahitaji tuwe na majina kabisa kwaajili ya baadaye.So far sijaona shida ya Mataragio. Kikubwa apewe uhuru kufanya utaalamu wake ili tuone matunda yake kwenye shirika
hawa wanajambo lao tu, mataragio yupo vizuri.Swali linakuja kwanini hawamtaki huyu bwa Mataragio?
Au ndio wana jambo lao🤔🤔🤔
TPDC ndo kwenye utajiri wa nchi na mataifa. Kwa uwezo wake lazima wengi watakuwa wanamuona kizingiti. Ila Jiwe nae alizidi sana kumbana kiasi ambacho hatujaweza kuona matunda yake kwa haraka.Swali linakuja kwanini hawamtaki huyu bwa Mataragio?
Au ndio wana jambo lao🤔🤔🤔
Umtoe Matarajio.umpe HR ? hiyo CV mbona ndogo mno hiyo Ni mtu tu wa kawaida wa HR hata hapa ma HR kama yeye wako kibao kampuni za kimataifa zilizoko nchini zikiwemo kama za Delloite nkDah CV yake ni nzuri Sana, bora apewe huyo aonyeshe ubunifu wake huyo mataragio apumzike
huyo sio HR mkuu, mkuu hebu google hizo kampuni alizofanya kazi. Na sidhani kama anaweza kukubali hata kurudi Tanzania kwasababu ya mshahara mdogoMleta mada huko serious mtu umempamba kwa CV ndefu iliyojaa fix huyo mtu wa HR umepeleleke bandari!!! kuwa CEO !! Huyo ni HR tu tena dogo you are not serious?
Kwa nafasi gani?Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC.
Mimi naanza na huyu bwana anaitwa
1. JACKSON DULLE
Ndio maana nimesema pendekeza jina lako ili tupate list, mimi hilo ndio jina nililopendekezaKwa nafasi gani?
Kama unamaanisha ukuu kwenye idara ya iT sawa, lkn Kama unaongelea nafasi ya DG hakuna kitu hapo
Kufanya kazi kama mesenger au HR kwenye kampuni ya Engineering hakukubadili kuwa Engineer na kufanya kazi kama HR kwenye hospitali Ulaya hakukugeuzi kuwa daktari unayeweza teuliwa kuwa mganga mkuu wa Hospitali ya Muhimbili.Mleta mada huyo.ni HR tena mdogo .huyo sio HR mkuu, mkuu hebu google hizo kampuni alizofanya kazi. Na sidhani kama anaweza kukubali hata kurudi Tanzania kwasababu ya mshahara mdogo
Soma vizuri hiyo CV kuanzia mwanzo hadi mwisho mkuu.Kufanya kazi kama mesenger au HR kwenye kampuni ya Engineering hakukubadili kuwa Engineer na kufanya kazi kama HR kwenye hospitali Ulaya hakukugeuzi kuwa daktari unayeweza teuliwa kuwa mganga mkuu wa Hospitali ya Muhimbili.Mleta mada huyo.ni HR tena mdogo .
ni vyema upendekeze jina lako kama uzi ulivyo jieleza, bila kubishia uchaguzi wangu. lengo la uzi ni kupata majina kwaajili ya matumizi ya baadaye.Kufanya kazi kama mesenger au HR kwenye kampuni ya Engineering hakukubadili kuwa Engineer na kufanya kazi kama HR kwenye hospitali Ulaya hakukugeuzi kuwa daktari unayeweza teuliwa kuwa mganga mkuu wa Hospitali ya Muhimbili.Mleta mada huyo.ni HR tena mdogo .
Naona CV yake nzuri mno na ana exposure kubwa pia kafanya sehemu tofauti tofauti,Umtoe Matarajio.umpe HR ? hiyo CV mbona ndogo mno hiyo Ni mtu tu wa kawaida wa HR hata hapa ma HR kama yeye wako kibao kampuni za kimataifa zilizoko nchini zikiwemo kama za Delloite nk
Kwa sasa Dr. Mtarajio anatosha.Ndio maana nimesema pendekeza jina lako ili tupate list, mimi hilo ndio jina nililopendekeza
Ni sahihi kabisa hata kikwete alikuwa anawatafta huko duniani na kuwaleta mtu mwenye international exposure ni rahisi kuleta mabadiko kwa taasisi, maana anakuwa amejifunza kutoka kwa wenzzetu walioendeleaTunawatanzania kibao wengi wapo nchi za nje huko wanaweza kuleta exposure katika taifa letu
Wapo wengi tu, Ila Mimi nimependekeza huyo mmoja kama unamjua mwingine pendekeza jina hapo
Kafanya sehemu nyingi tofauti kazi moja tu ya Humani Resource hakuna kitu hapo hata hiyo IT yake ni system ya human Resouce tu sawa tu na system za IT za human Resource SystemsNaona CV yake nzuri mno na ana exposure kubwa pia kafanya sehemu tofauti tofauti,
MATARAGIO namjua vizuri na namwelewa vizuri sana. CV yake yote ipo kichwani. Na wala sijamkataa ila nahitaji tuwe na list ya watu wengine kwani sio kwamba yupo peke yake, wapo wengi tu watanzania uko ulaya.Kwa sasa Dr. Mtarajio anatosha.
Tafuta cv yake uone