Orodha ya watu ambao sio wapenda haki bali ni matapeli na wenye chuki binafsi

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam.
Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi

2. Anaeona mabaya ya Samia ila haoni mabaya ya Magufuli. Huwez kutaja mambo ya utekaji, uzimaji haki wa vyama pinzani bila magufuli nae kuwepo. Ukiona mtu anaona mabaya ya Samia ila anamkubali magufuli, huyo ni tapeli na mnafiki, either analeta ukabila, udini au maslahi binafsi.
Gwajima na Kitima ni mfano kwenye hili kundi.

3. Walio kimya kwenye uongozi wa Samia ila walikua vocal kwenye uongozi wa Magufuli. Hapa Zito Kabwe na Fatma karume ni mfano wao, dini na uzanzibar vinahusika.

Mpenda haki yupo consistent, anapinga uovu haijalishi anaeutenda ni nani, kabila gani, dini au ametokea mahali gani.
Long live Tundu Lissu.
 
Umeongea vyema sana mkuu
 
Ukiangalia hivyo basi hakutakua na wakosoaji wapya kila siku watakua walewale hivyo hakutakua na mabadiliko

Hoja yako ni dhaifu sababu ndio ingefanya Askofu bagonza asiwe mkosoaji maana angeulizwa kwa nn ameanza kukosoa wakati wa magufuli na sio wakati wa kikwete?

Hoja yako hii pia ingefanya Askofu shoo, askofu niwemungizi, askofu munga, mwingira nao wahojiwe kwa nn wameanza ukosoaji wakati wa magufuli na si wakati wa kikwete?
Nadhani jambo la maana si nani kaanza kukosoa lini bali kinachokosolewa ni cha kweli au uongo?

FYI: Kitima alikua mkosoaji mkubwa wakati wa magufuli labda kama umesahau
Gwajima wakati wa magufuli alipewa hadi kesi ya kuuza madawa ya kulevya
 
Mimi ukishakuwa tu kiongozi wa ccm, lazima nitakupinga hata kama nina kadi ya hicho chama. Na shida kubwa ya kupinga iko kwenye mifumo, na uongozi wake.
 
1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam.
Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi

2. Anaeona mabaya ya Samia ila haoni mabaya ya Magufuli. Huwez kutaja mambo ya utekaji, uzimaji haki wa vyama pinzani bila magufuli nae kuwepo. Ukiona mtu anaona mabaya ya Samia ila anamkubali magufuli, huyo ni tapeli na mnafiki, either analeta ukabila, udini au maslahi binafsi.
Gwajima na Kitima ni mfano kwenye hili kundi.

3. Walio kimya kwenye uongozi wa Samia ila walikua vocal kwenye uongozi wa Magufuli. Hapa Zito Kabwe na Fatma karume ni mfano wao, dini na uzanzibar vinahusika.

Mpenda haki yupo consistent, anapinga uovu haijalishi anaeutenda ni nani, kabila gani, dini au ametokea mahali gani.
Long live Tundu Lissu.
Magu na samia ni mbingu na ardhi
 
Natamani nikujibu kwa kulinganisha wakosolewaji Ila naogopa kupatwa na jambo.
Mwanaume kupakwa kilainishi hapana siko tayari.
Tena unaweka kichwa chini miguu juu, uko uchi, wanakuchungulia
 
Back
Top Bottom