Umeongea vyema sana mkuu1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam.
Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi
2. Anaeona mabaya ya Samia ila haoni mabaya ya Magufuli. Huwez kutaja mambo ya utekaji, uzimaji haki wa vyama pinzani bila magufuli nae kuwepo. Ukiona mtu anaona mabaya ya Samia ila anamkubali magufuli, huyo ni tapeli na mnafiki, either analeta ukabila, udini au maslahi binafsi.
Gwajima na Kitima ni mfano kwenye hili kundi.
3. Walio kimya kwenye uongozi wa Samia ila walikua vocal kwenye uongozi wa Magufuli. Hapa Zito Kabwe na Fatma karume ni mfano wao, dini na uzanzibar vinahusika.
Mpenda haki yupo consistent, anapinga uovu haijalishi anaeutenda ni nani, kabila gani, dini au ametokea mahali gani.
Long live Tundu Lissu.
Angalau Jiwe hakuwa anatapanya hovyo raslimali za nchi ila zuwena kazidi , she's too worstHata mimi nilipinga uongozi mbovu wa jiwe, hivyo tupo wengi mkuu
Huyu kaja kuuza kila kituAngalau Jiwe hakuwa anatapanya hovyo raslimali za nchi ila zuwena kazidi , she's too worst
Magu na samia ni mbingu na ardhi1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam.
Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi
2. Anaeona mabaya ya Samia ila haoni mabaya ya Magufuli. Huwez kutaja mambo ya utekaji, uzimaji haki wa vyama pinzani bila magufuli nae kuwepo. Ukiona mtu anaona mabaya ya Samia ila anamkubali magufuli, huyo ni tapeli na mnafiki, either analeta ukabila, udini au maslahi binafsi.
Gwajima na Kitima ni mfano kwenye hili kundi.
3. Walio kimya kwenye uongozi wa Samia ila walikua vocal kwenye uongozi wa Magufuli. Hapa Zito Kabwe na Fatma karume ni mfano wao, dini na uzanzibar vinahusika.
Mpenda haki yupo consistent, anapinga uovu haijalishi anaeutenda ni nani, kabila gani, dini au ametokea mahali gani.
Long live Tundu Lissu.
Tena unaweka kichwa chini miguu juu, uko uchi, wanakuchunguliaNatamani nikujibu kwa kulinganisha wakosolewaji Ila naogopa kupatwa na jambo.
Mwanaume kupakwa kilainishi hapana siko tayari.
Usema kweli huu ushetani wa utekaji mama kachukua kwa jiwe.....Hata mimi nilipinga uongozi mbovu wa jiwe, hivyo tupo wengi mkuu
SureUsema kweli huu ushetani wa utekaji mama kachukua kwa jiwe.....
Ana tamaa ya kumzidi Elon kiuchumiHuyu kaja kuuza kila kitu