Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanaamini hivyo..Kuhusu shakespear kuna Nadharia nyingi sana. Kuna conspiracy theory moja inasema kua Williams stories zake zote alikua anaandikiwa na mama mmoja mtumwa mweusi. So willy hakutunga lolote aliweka jina lake tu..
William Shakespare ndiye mwandishi ninaye mkubari kuliko wote. Kwanza alikuwa anajua psychology, medicine, sheria, uongozi, mbinu za kivita, lugha, geography n.k.Huyu baharia yeye aliishi karne ya 16 huko, ila katunga novel na Mashairi mengi sana..wanasema hakua na elimu kubwa ila alikua anaandika vitu ambavyo kwa mtu kama yeye hawakuelewa alikua anavitoa wapi. Wengine wanasema alikua anatumika na watu ili kuandika vitu anavyoambiwa aandike. Ila ukweli utabaki pale pale kua alikua mtu smart sana. He is my role model.
- William Shakespare
Je wewe waandishi wapi unawakubali zaidi?
Labda nije nijaribu tena.Hata huko gugo hamna. .?
Nilikuta umeomba huu uzi ufutwe hivo sikusoma.Paula Paul
Basi itakua mtu namba 5 hukumjua
Ila Rene ndio jina lake la kuzaliwa..sidhani kama kuna kazi yake kajitambulisha kama Ray au lolote alilonalo..Nilikuta umeomba huu uzi ufutwe hivo sikusoma.
Jina lake ni René Lodge Brabazon Raymond, almaarufu kama J. H. Chase.
Hayo mengine ni pen name tuu hivo ni ngumu kuyatumia kama utambulisho wake.
Hivi amelitumia kwenye vitabu gani?
Tatizo hauamini uwezo wako Vers.Ila Rene ndio jina lake la kuzaliwa..sidhani kama kuna kazi yake kajitambulisha kama Ray au lolote alilonalo..
Nilijua nimekosea kuandika
Hao uliowataja ni wale wa Riwaya pendwa.Lakini Kuna wengi waliofanya kazi za kuheshimika.Kila kitu Wazungu tu.Pitia Basi Babu alipofufuka,Kichwa maji,Siku ya watenzi wote,Siri ya sifuri na nyinginezo huwe mzalendo basi.Da'vinci na Uzungu.Kwa hapa tanzania nawakubali waandishi hawa..
- Ben Mtobwa (nimesoma karibu vitabu vyote)
- Kevin Mponda (simulizi zake zipo humu)
- The Bold (Mwana Jf)
- Mwandishi wa simulizi za Will Gamba
Kuna publications ambazo ametumia various pseudonyms kama Raymond Marshall, Ambrose Grant e.t.cIla Rene ndio jina lake la kuzaliwa..sidhani kama kuna kazi yake kajitambulisha kama Ray au lolote alilonalo..
Nilijua nimekosea kuandika
Uko vizuri mkuu ila vutabu vya alfu lela ulela vilinishinda kusoma maana vinakiswahili kigumu sana..Nimeshapiga vya John grisham, Nick Carter, Elvis Musiba, Ben mtobwa, alfu lela ulela, shaaban Robert, (kusadikika, kufikirika, adili na nduguze) na vingine kibao ikiwemo series za Harry Potter (prisoner of azkaban, goblet of fire, chamber of secrets)
kwa kweli niko vizuri