Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaUko vizuri mkuu ila vutabu vya alfu lela ulela vilinishinda kusoma maana vinakiswahili kigumu sana..
By publications i meant hivyo vitabu (novels)Basi hvyo sijawahi kutana navyo mkuu..
Nadhani sio zile kazi official za vitabu
Inawezekana kabisa.. japo mm nilianza kwebye magazeti ya sani na majarida ya mashahidi wa Jehova nikiwa darasa la 2Ivi Kama hukua na desturi ya kusoma vitabu tangu utotoni na unatamani kuanza kusoma vitabu at 27+ years old inawezakana kweli ndo Basi tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa tanzania nawakubali waandishi hawa..
- Ben Mtobwa (nimesoma karibu vitabu vyote)
- Kevin Mponda (simulizi zake zipo humu)
- The Bold (Mwana Jf)
- Mwandishi wa simulizi za Will Gamba
Vitabu Kama.Basi hvyo sijawahi kutana navyo mkuu..
Nadhani sio zile kazi official za vitabu
RIP Chadwick BosemanRIP STAN LEE
View attachment 1330762
Eti umesema Shigongo?Kwa hapa tanzania nawakubali waandishi hawa..
- Ben Mtobwa (nimesoma karibu vitabu vyote)
- Kevin Mponda (simulizi zake zipo humu)
- The Bold (Mwana Jf)
- Mwandishi wa simulizi za Will Gamba
Huyu dogo alikua hatari sana kwenye kucheza na maneno, ndio maana kafanikiwa kuingiza maneno yake mengi kwenye lugha ya malkiaNormal person: Mom
I'm hungry.
Shakespeare: Let it be
known to thy birth giver
that thou stomach
consists of nothing.
The paw in the bottle cha mchizi Harry ni kitabu kizuri sana. Kinathibitisha kauli ya wahenga kwamba "Tamaa mbele mauti nyuma"Vitabu Kama.
1. Lady- Here's your Wreath.
2. Just The Way It is.
3.The Paw in The Bottle
4. No business of mine.
5.Trusted like a fox etc
Vimekuwa released under his pseudonym Raymond Marshall.
Huyu Hadley Chase alikuwa mbaguzi sana anavyoa address waafrika kwenye vitabu vyake kama takataka ila naenda sana novels zake nimesoma novel 90.Hi..
Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu au stori mbalimbali itakua kuna watunzi utakua unawakubali, kuna watu wamejaliwa vipaji sana humu duniani yaani ukisoma kitu unajiuliza alifanyaje hadi akatunga kitu kama hiki. Unakuta stori imepangwa ikapangika akili kubwa imetumika. Binafsi hii ndio orodha ya watunzi na waandishi wa stori ninao wakubali zaidi katika historia yangu ya kusoma soma vitu (Fasihi andishi)
Huyu jamaa alikua ni mkazi wa Tarso alikua ni mfuasi wa Yule bwana mdogo mashuhuli niliyemzungumzia siku chache zilizopita, kaandika vnyaraka nyingi sana zenye kuelimisha na kuonya. Anahesabika kama moja ya mwanafalsafa mkubwa aliyeishi hapa duniani. Kazi zake zimesomwa na zinaendelea kusomwa na watu wengi kila siku. Maandiko yake yanaitwa Pauline epistles au nyaraka za Paulo ambazo baadhi ni waraka kwa waroma,waraka kwa wakorinto 1,2,3&4,wagalatia,waefeso,timotheo,tito,waebrania nk. Huyu jamaa kafanya makubwa sana kutokana na uandishi, kachangia sehemu kubwa ukristo kuwa kama ulivyo. Wengine huenda mbali zaidi na kusema kua alishirikiana na warumi kutengeneza ukatoliki.
- Paulo the Apostle
Mbali ya kua mwandishi pia alikua ni mchoraji na kwa upande wa kitaaluma huyu mtu alikua ni Daktari alikua ni mkazi wa huko antokio. Kaandika stori safi sana ya kijana Yesu.Aliandika kwa ufanisi mkubwa pia anakumbukwa kwa kuandika kitabu cha matendo ya mitme. Akielezea mambo mbalimbali waliyotenda wafuasi wa Yesu. Tunamkumbuka kwa uandishi wa injili yake safi inayofahamika kama Injili ya Luka.
- Luke the Evangelist
Kwa jina la kuzaliwa anaitwa satnley Martin Lieber kazaliwa December 28 1922 kafariki mwaka 2018 November 12 akiwa na miaka 95. Huyu jamaa alikuwa mwandishi na mtunzi wa comics (story za superheroes) katunga comics nyingi sana alikuwa anafanyia kazi kituo cha uandishi wa comics kiitwacho Marvel Comics, karibia asilimia 60% ya comics zote za America kuna mchango wake. Katunga superheroes maarufu kama vile Iron Man,Captain America, X-Men,Spiderman,Hulk,Captain Marvel,Thor,Doctor Strange,Blade,Ghost Rider,Black Panther na nyingine nyiiiingi sana. Binafsi huyu kwangu ndio muandishi namba moja kwangu, yaani hua nafikiria hizi stori alikua anazitoa wapi na inaonekana alikua mtu genius sana .
- Stan Lee
Comics za Iron man zimetungwa miaka ya 1950 teknolojia ya Artificial Intelligence haijawa official known lakini jamaa alitunga kama vile ni stori za miaka ya sasa teknolojia ikiwa kubwa. Japo kwenye mythology wanatambua kulikua kuna mungu anaitwa thor ila jamaa stori ya thor sijui aliiweka vipi yaani. Kiufupi jamaa alikua genius sana sioni Mwingine zaidi yake kama nikiwatoa Luka na Paulo.
Huyu jamaa anaweza kua sio maarufu sana ila jamaa ni bonge moja la mtunzi, sijui ana akili ya namna gani huyu mtu maana kwa visa alivyotunga itakua ni mtu mwenye IQ kubwa sana. Katunga stori ambazo zilitengenezewa muvi naseries maarufu zaidi duniani. Alitunga kisa cha Prison Break na Muvi ya Den of Thieves iliyotoka mwaka 2018 na nyingine nyingi ambazo kama ukiziona utakubaliana name huyu mtu anajua kuutumikisha ubongo katika kufikiria.Binafsi baada ya Stan lee anafuta huyu, naamini hawa watu wana akili sana.
- Paul T. Scheuring
Hili jina sio maarufu kwa wengi, lakini huyu ni moja kati ya waandishi mashuhuli waliopata kuishi hapa duniani katika uandishi wa novel za kijasusi. Anafahamika zaidi kwa jina la James Hadley Chase. Wanamwita kua ndio king wa utunzi wa novel za kijasusi kwa visa vyake vyenye utata. Kaandika novel nyingi sana kama 50+ siwezi kukwambia kua kasome hii au hii, wewe tafuta kitabu chake chochote soma lazima ukipende tu maana vyote ni vizuri sana. I wish ningekua nina uwezo kama wa huyu mtu.
- Raymond Marshall
Huyu baharia yeye aliishi karne ya 16 huko, ila katunga novel na Mashairi mengi sana..wanasema hakua na elimu kubwa ila alikua anaandika vitu ambavyo kwa mtu kama yeye hawakuelewa alikua anavitoa wapi. Wengine wanasema alikua anatumika na watu ili kuandika vitu anavyoambiwa aandike. Ila ukweli utabaki pale pale kua alikua mtu smart sana. He is my role model.
- William Shakespare
Wa mwisho naomba nimuweke Rick Warren kaandika kitabu cha Purpose driven to life. Alijitahidi sana. Ni hicho tu na penda toka kwake na pia Dan Brown alijitahidi sana na Novel zake.
Je wewe waandishi wapi unawakubali zaidi?