Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kama kwenye "This Is for Real" and "Have This One On Me" katika enzi za vita baridi kati ya USA na USSR. Kulikua na scene ya Senegal walipokutana Malik( a Russian) na Mark Giland(an American), jamaa Mrusi alikua anaua Waafrika eti kwa sababu msafara wao uliokua na Waafrika waongoza njia umeishiwa maji ya kunywa jangwani!Huyu Hadley Chase alikuwa mbaguzi sana anavyoa address waafrika kwenye vitabu vyake kama takataka ila naenda sana novels zake nimesoma novel 90.