Orodha yangu ya waandishi wa vitabu na watunzi wa stori..

Ivi Kama hukua na desturi ya kusoma vitabu tangu utotoni na unatamani kuanza kusoma vitabu at 27+ years old inawezakana kweli ndo Basi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi Kama hukua na desturi ya kusoma vitabu tangu utotoni na unatamani kuanza kusoma vitabu at 27+ years old inawezakana kweli ndo Basi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa.. japo mm nilianza kwebye magazeti ya sani na majarida ya mashahidi wa Jehova nikiwa darasa la 2
Napenda sana kusoma soma vitu
 
Vitabu Kama.
1. Lady- Here's your Wreath.
2. Just The Way It is.
3.The Paw in The Bottle
4. No business of mine.
5.Trusted like a fox etc
Vimekuwa released under his pseudonym Raymond Marshall.
Paula ulipotelea wapii
 
Na mimi natamani sana kutunga kitabu, sema kupata muda ndiyo imekuwa changamoto
 
Normal person: Mom
I'm hungry.

Shakespeare: Let it be
known to thy birth giver
that thou stomach
consists of nothing.
 
Kwa hapa tanzania nawakubali waandishi hawa..
  1. Ben Mtobwa (nimesoma karibu vitabu vyote)
  2. Kevin Mponda (simulizi zake zipo humu)
  3. The Bold (Mwana Jf)
  4. Mwandishi wa simulizi za Will Gamba
Eti umesema Shigongo?
 
Normal person: Mom
I'm hungry.

Shakespeare: Let it be
known to thy birth giver
that thou stomach
consists of nothing.
Huyu dogo alikua hatari sana kwenye kucheza na maneno, ndio maana kafanikiwa kuingiza maneno yake mengi kwenye lugha ya malkia
 
Vitabu Kama.
1. Lady- Here's your Wreath.
2. Just The Way It is.
3.The Paw in The Bottle
4. No business of mine.
5.Trusted like a fox etc
Vimekuwa released under his pseudonym Raymond Marshall.
The paw in the bottle cha mchizi Harry ni kitabu kizuri sana. Kinathibitisha kauli ya wahenga kwamba "Tamaa mbele mauti nyuma"
 
Huyu Hadley Chase alikuwa mbaguzi sana anavyoa address waafrika kwenye vitabu vyake kama takataka ila naenda sana novels zake nimesoma novel 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…