Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hana noma blazaI mean no malice to nobody, msalimie mrusi wa mchongo Ivan Stepanov π€
πππApprecite Mpaji Mungu .there is always tomorrow and everything is possible. Tena better tuonane kabla sijawa billionaire maana itakua ngum sana kunipata af Intelligent businessman asije ona naringa π
Mapema sana tokea tucheze pool table mamaπau kama ni game nae fresh tuMkuu mimi nina weakness moja, mtu akitaka kuniomba msamaha huwa nakimbia kabisa sitakagi hiyo conversation. Sijui kwanini naogopa sana kuombwa msamaha, π Labda kwasababu nakuwa nimeshasamehe toka muda ule ule. Nadhani nina shida mahala .
Lakini kwakuwa umetumia muda wako kufanya hivyo, basi nimepokea kwa mikono miwili na iβm down for this.
Ni mambo ya kawaida tu humu jukwaani, Peace Mkuu.
Tuendelee kulisongesha jukwaa. βπ»
Ukianza wewe mi nitakupata tuuπππ
Pia inaweza kutokea nikawa billionaire kabla yako π
Bwana umeniachaβ¦β¦β¦ mataa!Mapema sana tokea tucheze pool table mamaπau kama ni game nae fresh tu
Mpaji Mungu ona huyu dalali wa magari, sijui kalewa ππ.Na hapa ipo
πππ
Pia inaweza kutokea nikawa billionaire kabla yako π
Mpaji Mungu, Ivan Stepanov I love this competition my brothers ππ€.Ukianza wewe mi nitakupata tuu
Kwako pia Kakaππͺ, kheri itawale πBarikiwa sana
Basi nakusalimu Kaka, Nita kucheki ndani ya siku 2 au 3 zijazo.ZA kwako sijaona kaka
eti tumuulize mwalimu wa hesabu AntonniaKwani hapa ni wapi?
Spot on.Why man? Niwe na hasira nakujua?
The only thing I'm saying is, you people need some reality check.
You need to be reminded of the state of things in terra firma.
Oya we mrusi wa mchongo Ume Anza sifa zakoππ, mi jobless bhana so hizo Bata sizi taki.Mbona very soon tu i will.. utakula bata sana nikishaukwaa u bilionea mdogo angu, sema tu hutamfikia Leejay49 maana yeye ndio atakua financial consultant wangu wa plan matumiz na bata zote on my right hand side
kumaanisha nini π€π€Spot on.
More love less ego πͺAsante sana kaka