Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Karibu, pia nimeona salam zakoBasi nakusalimu Kaka, Nita kucheki ndani ya siku 2 au 3 zijazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu, pia nimeona salam zakoBasi nakusalimu Kaka, Nita kucheki ndani ya siku 2 au 3 zijazo.
𝐰𝐞𝐧𝐳𝐢𝐞 𝐤𝐢𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐧𝐢...Nilifikiri team hakuna ndoa ndo walitamba Sana mwaka 2023..
Drone drake na wenzie
Kaka fanya kweli tuishi ndugu zako, aisee.Bro usiniletee kesi😂
Sio mkewe Wala nini 🤣, sema Jamaa huwa nina utani nae tu😆.Ulipaswa kugombana mkeo acha uzuzu, huenda alimwambia hajaolewa😂😂
We bwege tulia😆😆😆wapi papaa mofiloo
Basi tudumishe upendo, Afu mbona pm zangu hujibu 🙄😌😀Haki vile 🤨😁😁
🤣🤣🤣 doohMtu mwingine aliye upiga mwingi ni, mtaalamu wa lugha ya malkia fundi bishoo 😀😀😆
tulia ww toka uko mavumbini njoo duniani niggar ule maisha gascar cityWe bwege tulia😆😆😆
Halafu ujue mimi nakuona wewe ndiyo umeupiga mwingi. Fundi na mkali wa kila idara, umenifanya nisiusahau mwaka 2023.Mimi mpigaji mwingi wangu ni mmoja tu, Mdakuzi basi...
B... 2023 nitaiandika kwa wino mwekundu ktk kumbukumbu zangu because of you, umeupiga mwingi sana mshkaji wangu wa maisha.
Thank you
Dah si uli sema uko morogoro, au ndo Madagascar ya bongo😀😀🤣tulia ww toka uko mavumbini njoo duniani niggar ule maisha gascar city
We Jamaa ni kenge🤣🤣🤣, lugha una ifabya Ina onekana ngumu😀🤣🤣🤣 dooh
Behind the scene 😄Intelligent businessman yaani you looks like intelligent ila mmmh mwee