Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I mean no malice to nobody, ila sometimes huwa nacheka jinsi ambavyo Kuna waty Wana jikuta ma genius kumbe ni vyande tu.Behind the scene 😄
Sasa hizi comments zinaonesha some of u are maza fantastic aisee🤔🙄.Intelligent businessman yaani you looks like intelligent ila mmmh mwee
Amen mtumishi, huonekani siku hizi Kaka.Tuuvuke mwaka vyema inshallah na 2024 🧌ukipinduka tu tuanze mipango mipya
🤣🤣dah we ni umbwaWe Jamaa ni kenge🤣🤣🤣, lugha una ifabya Ina onekana ngumu😀
Dah ko Madagascar ndo morogoro au 😃😃🤣🤣dah we ni umbwa
Kataa ndoa...🤣Nilifikiri team hakuna ndoa ndo walitamba Sana mwaka 2023..
Drone drake na wenzie
Mama mchungaji, ebu acha kumsumbua Dickson...🤣Kwani hapa ni wapi?
moro nshatoka nmkuja tena madagascar 🤣 sema sas hv mambo yamekataa ntarudi bongo kula msotoDah ko Madagascar ndo morogoro au 😃
Sikusema ni mtangazaji, ana taaluma ya habari japo sio mwanahabari...
Halafu huyu si nimesema ni mshkaji wangu wa maisha jamani? 😜
Mama mchungaji, ebu acha kumsumbua Dickson...🤣
YesVipi the bold hamkufika mwisho mwema?
Pole!!
Hakika Mungu anajua zaidi Mkuu, Asante.Pole!!
Niliipenda sana combination yenu ilikuwa inafana sana. Hata hivyo ya Mungu mengi ni kukubaliana tu na hali na kuruhusu maisha mengine yaendelee!!