Orodha yangu ya watu walioupiga mwingi 2023

Nilifikiri team hakuna ndoa ndo walitamba Sana mwaka 2023..
Drone drake na wenzie
𝐰𝐞𝐧𝐳𝐒𝐞 𝐀𝐒𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐧𝐒...
 
Mimi mpigaji mwingi wangu ni mmoja tu, Mdakuzi basi...
B... 2023 nitaiandika kwa wino mwekundu ktk kumbukumbu zangu because of you, umeupiga mwingi sana mshkaji wangu wa maisha.
Thank you
Halafu ujue mimi nakuona wewe ndiyo umeupiga mwingi. Fundi na mkali wa kila idara, umenifanya nisiusahau mwaka 2023.

Kuna siku nitasema kwanini 2023 wewe ndiye uliyeupiga mwingi. Asante sana b... kwa kuupiga mwingi.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…