Oscar Oscar, kama kumuita kiongozi wako mpuuzi sio kosa, fanya hivyo basi kwa bosi wako Majizo kama utabaki salama

Kama Karia sio mwajiri wake mwambie aifute hiyo adhabu basi! Na kama sio mwajiri wake alienda kuomba msamaha wa nini? Ukipata majibu ya maswali hayo utagundua kuwa kwa namna moja au nyingine TFF ndio mwajiri wa mambo yote yanayo husiana na mpira wa Tanzania wakiwemo watu wanaojihusisha na mpira
 
Oscar ni mjinga wa ngazi ya mwisho na kuna waandishi wajinga wanaenda kusikiliza press ya Oscar!
 
Watu bado hawajui nini wafanyiwe na nini wasifanyiwe, nchi bado ina kundi kubwa la watu wasio jitambua.
 
MNAMBAGUA[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
muueni,muueni
 
Nchi hii watu wanaongozwa na mihemko.
Kumuita mtu mpuuzi sio kosa la kufungiwa kwenye soka.

Turudi kwenye maana halisi ya neno upuuzi.

Upuuzi ni hali kutotilia jambo maanani au jambo lisilo na maana.

Hivvyo mpuuzi ni mtu anayefanya kitendo cha kupuuzia jambo yaani hamaanishi.

Hili ni tusi?
Hili ni kosa?
Manara atashinda hii kesi
 
Wewe Ni mmoja wa wale wasio na akili hapo utopoloni kwa mujibu wa Manara.
 
Sawa! Ushawahi kumuita baba yako mpuuzi!? Ukamvunjie heshima Rais was TFF kwenye tukio rasmi la soka halafu uachwe tu! Pale sio baa au sokoni. Lazima uumizwe.
 
Hakuna Cha haki Wala nini. Wewe Ni utopolo ambaye Haji alisema hauna akili.
 
Wanajisahaulisha hao kwa ushabiki maandazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…