Oscar Oscar, kama kumuita kiongozi wako mpuuzi sio kosa, fanya hivyo basi kwa bosi wako Majizo kama utabaki salama


Kwa maelezo ya Manara ya leo, inaonesha kweli jamaa wana bifu zao...
 
Upuuzi siyo tusi lina maana ya kupuuza mambo, kwa kingereza ni ''Ignore"
 
Rasta

Yule alikuwa ni haji anatoa maneno machafu na kumtishia Karia kuwa hamuogopi

Karia alikuwa akimuonya kwa kumnyooshea kidole na hata mashahidi waliokuwepo wamekiri.
Anamuonya kwa kutumia kidole?

Kumwambia mtu sikuongopi ni kumtisha? Standard ni ipi, alitakiwa kumuogopa?
 
Oscar ni mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…