Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi.
Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na migogoro ya kihisia; hivyo mtu anaweza kuwa “mtulivu” zaidi katika uhusiano ambao haujafika kiwango cha upendo wa ndani kabisa.
Tupe maoni au uzoefu wako katika hili.
Hii nukuu toka makala hii: Quote of the day by Oscar Wilde: 'A man can be happy with any woman as long as he does not love her...' - The unsettling duality of relationships and love explained by the Irish author-poet - The Economic Times