Na kamaliza hutaki basi 😂Mariamu dada anguu...ila watoto 🤣🤣🤣
Zipo nyingi tu ,kaangalie labda vile hauelewi ...Zipo nyingi sana na hapo anatoa somo ..Msikilize vizuri. Hao watoto wanaambiwa maswali.Sasa content creator kwa maudhui ya madrasa?....
Huu ndio uhalisia wa binaadam wengi.
Ukiangalia maswali mengi wanayouliza waislam yanakosa majibu ndani kwao,ila wanabeba tu hivyo hivyo maana vitisho ni vingi kuhusu kutokubaliana na mtume.
Fikiria huyu mtoto akifika miaka 12 kama sio fimbo ndizo zitampeleka msikitini.
Nini kifanyike mkuu?Watoto wadogo wanaharibiwa fikra innocently, so sad 😢
Ni kweli Mtume SAW, PBUH, alioa binti wa miaka 9!?Hakuna swali ambalo halina jibu katika UISLAMU wetu, usilinganishe UISLAMU na Ukristo wenu ambao mafundisho yake hayafiki kwa Yesu Moja kwa Moja.
Katika maelezi ya watoto fimbo ni jambo ambalo halikwepeki, tena hasa zama hizi ambazo kuanzia wazazi hawana habari na dini kabisa.
Mfano kwa huyo mwalimu, anaulizwa maswali mepesi sana japokuwa Kuna Ile hali ya watoto kuonyesha utoto wao katika kuuliza maswali hayo.
Mfano maswali gani hayana majibu ?
Niulize mimiHuu ndio uhalisia wa binaadam wengi.
Ukiangalia maswali mengi wanayouliza waislam yanakosa majibu ndani kwao,ila wanabeba tu hivyo hivyo maana vitisho ni vingi kuhusu kutokubaliana na mtume.
Fikiria huyu mtoto akifika miaka 12 kama sio fimbo ndizo zitampeleka msikitini.
Mbona hakuna kitu ambacho ni staged hapa,watoto wana akili kuliko kawaidaContent creator hao ,wako kule TikTok ... Wanafanya hivyo kuchukua attention 😂😂mhaya kwa kukurupuka
Yesu na Muhammad nani alimtangulia mwenzake dunianHakuna swali ambalo halina jibu katika UISLAMU wetu, usilinganishe UISLAMU na Ukristo wenu ambao mafundisho yake hayafiki kwa Yesu Moja kwa Moja.
Katika maelezi ya watoto fimbo ni jambo ambalo halikwepeki, tena hasa zama hizi ambazo kuanzia wazazi hawana habari na dini kabisa.
Mfano kwa huyo mwalimu, anaulizwa maswali mepesi sana japokuwa Kuna Ile hali ya watoto kuonyesha utoto wao katika kuuliza maswali hayo.
Mfano maswali gani hayana majibu ?
Una uhakika na hili??Hakuna swali ambalo halina jibu katika UISLAMU wetu, usilinganishe UISLAMU na Ukristo wenu ambao mafundisho yake hayafiki kwa Yesu Moja kwa Moja.
Fimbo kwa mtoto aliyekuzidi namna ya kufikiri unaweza kumuua kwa kipigo kama utakumbatia upumbavu,hata kwenye jamii za ukeketaji huko,kuna wazazi bado ni wapumbavu kuliko watoto wao wadogo.Katika maelezi ya watoto fimbo ni jambo ambalo halikwepeki, tena hasa zama hizi ambazo kuanzia wazazi hawana habari na dini kabisa.
Aliuliza mwalimu kwahiyo dini ya kweli ni ipi,dogo akajibu ni uislam,kauliza kwanini umejibu ni uislam dogo akasema kwa sababu wewe mwalimu umesema😁😁.Mfano kwa huyo mwalimu, anaulizwa maswali mepesi sana japokuwa Kuna Ile hali ya watoto kuonyesha utoto wao katika kuuliza maswali hayo.
Mfano maswali gani hayana majibu ?