Ostadhi kabananishwa na wanafunzi wa Madrasa juu ya Yesu kuwa Muislamu

Ostadhi kabananishwa na wanafunzi wa Madrasa juu ya Yesu kuwa Muislamu

Ni kweli Mtume SAW, PBUH, alioa binti wa miaka 9!?
Je ni kweli Mtume alipaa na farasi kwenda Jerusalem?
Huko umeenda mbali, akiwa na miaka chini ya 15 alioa mshangazi wa miaka 40+ dah.

Halafu alipofikisha miaka 40+ akaoa kitoto cha miaka 9 🤔
 
Content creator hao ,wako kule TikTok ... Wanafanya hivyo kuchukua attention 😂😂mhaya kwa kukurupuka
Na wewe saa zingine jifunze kuwa na akill halaf kupokea ukosoaji constructivelly sio kila saa umekaa ku react tu kijinga jinga utajua mambo mengi. Acha hii mindset
 
Hakuna swali ambalo halina jibu katika UISLAMU wetu, usilinganishe UISLAMU na Ukristo wenu ambao mafundisho yake hayafiki kwa Yesu Moja kwa Moja.

Katika maelezi ya watoto fimbo ni jambo ambalo halikwepeki, tena hasa zama hizi ambazo kuanzia wazazi hawana habari na dini kabisa.

Mfano kwa huyo mwalimu, anaulizwa maswali mepesi sana japokuwa Kuna Ile hali ya watoto kuonyesha utoto wao katika kuuliza maswali hayo.

Mfano maswali gani hayana majibu ?
Yesu kuwa mwislamu!
 
hv Waisilamu wanamtaja Yesu yupi wakati hawaamini kama Yesu alikufa,kufufuka na kupaa Mbingini,bila shaka wana yesu wao,lkn si huyu ambye Wakristo tunamtambua
 
Uislam upo ili kuu conquer ukristo ndio maana unaona uongo ulio dhahiri kama YESU kuwa muislamu,hakukuwa na haja ya kulazimisha eti manabii wote walikuwa waislam tofauti na ukristo hauogopi au kulazimisha eti Adamu alikuwa mkristo nk.Uislam ni kama mti uliokosa mwanga na kulazimika uelekeo ulipo ili uwe na existence.Na huyo mchukua video kazi anayo.
 
Ni kweli Mtume SAW, PBUH, alioa binti wa miaka 9!?
Je ni kweli Mtume alipaa na farasi kwenda Jerusalem?
1.Ndiyo alimuoa akiwa na miaka 6 akamuingilia akiwa na miaka 9. Hata leo hamna katazo ktk Uislamu la mtu kuoa au kuozesha bint wa umri huo kinachoangaliwa ni faida na hasara ya jambo lenyewe kwa wakati husika faida zikizidi hasara jambo linafanyika. Na hiyo haikuwa kitu cha ajabu kwa zama izo wala haikuwa ni doa katika heshima yake.

2. Mtume ﷺ alipanda mnyama anaitwa buraq katika safari yake ya Makka kwenda Masjid Aqsa Palestine. Ukubwa wa buraq imesimuliwa ni baina ya farasi na punda sifa ya mwendo wake akikanyaga sehemu hatua 1 hatua inayofuata inakuwa mahali pa mwisho macho yake kuona. Buraq ni mnyama ktk wanyama wa peponi duniani hawapo. Hilo linakushangaza? Vipi kuhusu nabii Issa (عليه سلم) yeye Allah alimnyanyua kwenda mbinguni pasina ya kifaa chochote.
 
Issa ndo jina lake haswaaa kwa kiislamu ila ilo yesu mnamuita nyinyi wakristo
Issa sio Yesu.... hata historia zao hazifanani.... Yesu aliingia kwenye sinagogi, ila Isa aliingia msikitini... Yesu alikuwa myahudi ila Isa wanasema alikuwa muislamu... Yesu alisurubiwa msalabani, Issa akusurubiwa... hawa wanakuaje mtu mmmoja wakati hawafanani
 
Uzuri amewapa nafasi wajadili pamoja ni nadra sana siku hizi watoto kupewa uwanja wa namna hiyo , wakikua watajua waende au wapaki.
 
Kuna mtoto ana critical thinking ya hali ya juu, anasema tukiwa wote dini moja misikini itatosha?
 
1.Ndiyo alimuoa akiwa na miaka 6 akamuingilia akiwa na miaka 9. Hata leo hamna katazo ktk Uislamu la mtu kuoa au kuozesha bint wa umri huo kinachoangaliwa ni faida na hasara ya jambo lenyewe kwa wakati husika faida zikizidi hasara jambo linafanyika. Na hiyo haikuwa kitu cha ajabu kwa zama izo wala haikuwa ni doa katika heshima yake.

2. Mtume ﷺ alipanda mnyama anaitwa buraq katika safari yake ya Makka kwenda Masjid Aqsa Palestine. Ukubwa wa buraq imesimuliwa ni baina ya farasi na punda sifa ya mwendo wake akikanyaga sehemu hatua 1 hatua inayofuata inakuwa mahali pa mwisho macho yake kuona. Buraq ni mnyama ktk wanyama wa peponi duniani hawapo. Hilo linakushangaza? Vipi kuhusu nabii Issa (عليه سلم) yeye Allah alimnyanyua kwenda mbinguni pasina ya kifaa chochote.

Yesu hakuwa mtu pekee aliyepaa kwenda Mbinguni, kuna nabii anaitwa Eliya ukisoma Wafalme wa pili sura 2 mstari wa 11 unasema Eliya alichukuliwa mbinguni kwa gari la moto na farasi wa moto. Nyie kwenye Quran mnamuita Ilyās

Pia kuna Enock (Henoko) huyu mwamba kwenye Biblia ukisoma Mwanzo 5:24: “Henoko alitembea na Mungu, naye hakuonekana tena, kwa maana Mungu alimchukua.” Hivyo anaaminika kupaa moja kwa moja bila kufa. huyu kwenye Quran mnamuita Nabii Idris

Biblia inaelezea watu hao juu waliondoka duniani na kwenda mbinguni moja kwa moja, ila Yesu pia badae alikuja na mission ya kumkomboa mwanadamu, kupitia kuteswa kwake kwa niaba yetu basi mtu ataokolewq
 
Hiyo madrasa ya ushuani bila shaka,uswazi kuna bakora watoto hawawezi kuwa confident hivyo akina Maalim wanaogopeka.
 
Issa sio Yesu.... hata historia zao hazifanani.... Yesu aliingia kwenye sinagogi, ila Isa aliingia msikitini... Yesu alikuwa myahudi ila Isa wanasema alikuwa muislamu... Yesu alisurubiwa msalabani, Issa akusurubiwa... hawa wanakuaje mtu mmmoja wakati hawafanani
Huna ulijualo na hao unowaamini pia wamekudanganya
 
Back
Top Bottom