Tupe ukweli basi nasi tujifunzeHuna ulijualo na hao unowaamini pia wamekudanganya
Tupe ukweli basi nasi tujifunzeHuna ulijualo na hao unowaamini pia wamekudanganya
Kwaio ww na akili yako timamu unaamini kua mungu wako kazaliwa kala kaenda chooni hlf kauliwa ? Ivi unaamini haswaa?Tupe ukweli basi nasi tujifunze
Hakuna swali ambalo halina jibu katika UISLAMU wetu, usilinganishe UISLAMU na Ukristo wenu ambao mafundisho yake hayafiki kwa Yesu Moja kwa Moja.
Katika maelezi ya watoto fimbo ni jambo ambalo halikwepeki, tena hasa zama hizi ambazo kuanzia wazazi hawana habari na dini kabisa.
Mfano kwa huyo mwalimu, anaulizwa maswali mepesi sana japokuwa Kuna Ile hali ya watoto kuonyesha utoto wao katika kuuliza maswali hayo.
Mfano maswali gani hayana majibu ?
Bora yangu Nina akili timamu, wewe usie akili tumamu type ufafanuzi ili wenye akili timamu tuelewe,Kwaio ww na akili yako timamu unaamini kua mungu wako kazaliwa kala kaenda chooni hlf kauliwa ? Ivi unaamini haswaa?
Jibu swaliBora yangu Nina akili timamu, wewe usie akili tumamu type ufafanuzi ili wenye akili timamu tuelewe,
Swali lipo wakati ujinga umeuanza wewe, umesema huo ni uongo sasa tupe wewe huo ukweli! Unaanza unaanza na akili timamu, sasa wewe mwenye akili unusu tupe ukweli,Jibu swali