Ostadhi kabananishwa na wanafunzi wa Madrasa juu ya Yesu kuwa Muislamu

Tupe ukweli basi nasi tujifunze
Kwaio ww na akili yako timamu unaamini kua mungu wako kazaliwa kala kaenda chooni hlf kauliwa ? Ivi unaamini haswaa?
 

Swali hili hapa

je ni sahihi mtume wa mungu kujisaidia chumbani kwenye kopo usiku na kuliweka chini ya kitanda kwa sababu ya mtume kuogopa kwenda chooni nje ya nyumba kama sunan abi dawud 24 inavyosema?
 
Kwaio ww na akili yako timamu unaamini kua mungu wako kazaliwa kala kaenda chooni hlf kauliwa ? Ivi unaamini haswaa?
Bora yangu Nina akili timamu, wewe usie akili tumamu type ufafanuzi ili wenye akili timamu tuelewe,
 
Jibu swali
Swali lipo wakati ujinga umeuanza wewe, umesema huo ni uongo sasa tupe wewe huo ukweli! Unaanza unaanza na akili timamu, sasa wewe mwenye akili unusu tupe ukweli,

Yaani nyie kuongea kiungwana sijui huwa mnaona nini! Mpaka uwake maneno ya ukakasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…