Hakuna offside?Yanga ukiangalia vizuri hakuna offside Ila waamuzi na michongo yao tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna offside?Yanga ukiangalia vizuri hakuna offside Ila waamuzi na michongo yao tu
Simba ndo mkubwa wenuKipa lenu jizi
Kama inakuuma chomoaKipa lenu jizi linaibia waamuzi ilibidi akae kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa yeye anatoka kabla
Mpira ni burudani ila ukiwa timu lia lia utakiona cha mtima kuni.wewe ni mfano nzuri wa mtoto aliyelelewa na baba wa kambo
Kama haya ndio michango ya hoja, ni dhahiri sera ya elimu iangaliwe upyaMpira ni burudani ila ukiwa timu lia lia utakiona cha mtima kuni.
Mwanaume unatokwa na machozi kisa Yanga imefungwa.
Wanaume tunazidi kupungua sana duniani.
Ni kweli maana mwanaume mzima unalia kisa mpira.Kama haya ndio michango ya hoja, ni dhahiri sera ya elimu iangaliwe upya
lkn pia kuna umuhimu wa kutumia akili kikamilifu pindi unapotaka kuandika chochote. Muhimu sanaNi kweli maana mwanaume mzima unalia kisa mpira.
Inabidi sera ya elimu ifanyiwe marekebisho makubwa sana.
Ni kweli maana ukitanguliza hisia kwenye mpira. Timu, ikifungwa matokeo yake utashindwa kula na utakonda kwa mawazo na wakati mwingine utatokwa na machozi.lkn pia kuna umuhimu wa kutumia akili kikamilifu pindi unapotaka kuandika chochote. Muhimu sana
Muhimu zaidi ni kujadili hoja. Mfano hapa nilitataji kupata arguments juu ya mada iliyopo mezani na si vinginevyo. Alichozungumza Othman Kazi hakijadiliwi, ila zinashushwa ngonjera. I'm real sadNi kweli maana ukitanguliza hisia kwenye mpira. Timu, ikifungwa matokeo yake utashindwa kula na utakonda kwa mawazo na wakati mwingine utatokwa na machozi.
Kutumia akili ni muhimu sana kwa ustawi wa afya na utachukulia mpira ni burudani.
Mwamuzi mzoefu wa mpira wa miguu na mchambuzi wa maamuzi ya waamuzi hapa nchini. Unaweza kumkosoa kwa hoja (yale ni maoni yake). Kama huna hoja soma za wengine
Sifa aliyopewa imekwisha kabisa...wewe unadhani yeye mwenyewe ana raha?!Kipa mwizi yule kipa anatoka golini anaibia waamuzi alafu anapewa sifa jizi
Nikajua wewe ni mtoa taarifa tu kwa uliyoyasikia, kumbe wewe ndiye MLALAMIKAJI MKUU, kama Mwabukusi kwenye ile kesi ya bandari!Inauma sana
Nimejiridhisha na hoja za Othman Kazi. Hasa pale ambapo hakuna mtu aliyemchallenge zaidi ya viojaNikajua wewe ni mtoa taarifa tu kwa uliyoyasikia, kumbe wewe ndiye MLALAMIKAJI MKUU, kama Mwabukusi kwenye ile kesi ya bandari!