A
Anonymous
Guest
Kipengele Cha Mdhamini kwenye mfumo wa kufanya application kwa mikopo wanafunzi wa Vyuo.
Kuna utaratbu wa kutumiwa OTP kwa namba ya simu ya mdhamini kisha ijazwe kwenye mfumo wa maombi ya mkopo.
OTP haifiki kwa kwa mdhamini na wanaonkupa MASAA 72 Ili kuomba OTP nyingne. Hii inakwamisha zoezi la application.
Ata ukibadili namba ya simu bado changanoto ipo vile vile, hii sio kwa mtu mmoja, ni wengi.
Ukiwatafuta wanajibu hivi, jaza namba ya mdhamini kwa usahihi.
Tupazie Sauti warekebishe mfumo na kuondoa kipengele Cha kususbri OTP Masaa 72.