Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Jina la wimbo ni "I'll be missing you"
 
Msikilize bodyguard wa Big katika mahojiano yake na Vlad Tv anachosema kuhusu Puffy na kuhusu bloods waliohusika kumuua Big,na tuhuma zake direct kwa Puffy siku ile sababu alimwambia kuna bloods wana mpango wa kumuua Big na alichomjibu siku ile ya asubuhi
 
Ulichoandika ndio kinachofanana na ukweli wenyewe. Soma post namba 14 utaelewa.
Inasemekana pia alitaka kujitoa illuminati, hata nyimbo zake nyingi zilikuwa na message, za kuwaponda ma illuminati, mfano kiliminat, me against the world, nk wakatumia bifu lao na Big wakammaliza.
Suge knight ndie muuaji
 
Swadakta kabisa ulichoandika kinafanana na kile nilichoandika kwenye post ya 14. Ebu isome ili kujua sababu halisi ya ugomvi wao.
Aliyemshuti Pac pale new york studio ni member wa seti moja ya crips ya new york ila hajulikani na alipewa oder ya hit na OG a.k.a god father Kenneth Supreme Mcgriff wakawaibie wale wasanii kutoka west coast waliokuwepo pale new york kwenye ile studio siku ile.

Big alidandia tu upepo na kutoa""who shoot ya"" zikiwa ni hasira baada ya 2Pac kumlaumu wala hakuhusika na like tukio,ila story za kupotosha zimekua nyingi.Na aliyemuua 2Pac alikua Mac Andreson(Orlando) na washirika wake kutoka seti moja ya compton crips kwa ugomvi binafsi baada ya Pac na washikaji zake kumpiga pale Las Vegas wakimutuhumu kumuibia mmoja wa washikaji wa 2Pac anaitwa Daz dillinger kama sikosei jina lake cheni.Sema theory's nyingi hazisemagi ukweli.

Kumbuka 2Pac amekulia new york kabla ya kwenda vallejo California na yeye na Big na faith evans na keysha cole na ray ruv walikua marafiki toka high school,sema utafutaji katika maisha ndio uliowatenganisha.Kuna mahojiano Big anakiri kabisa kua 2pac alikua mshikaji wake sana sema tu ushindani wa mziki na gangs afliation,s ndio vilivyowatenganisha.
 
Suge Knight alishaga toka Jela!
 
Ni vile tu TUPAC na BIG walikuwa watu maarufu sana lkn kimsingi Watu Weusi USA kuuana kwa kutumia Chuma ni sehemu ya Utamaduni wao!

Zipo theory zingine zinamtaja Snoopy km mtu alietia mkono wk ktk mauaji ya Pac. Binafsi nilimuona Pac akiwa kitandani Hospital, niliamini Mwamba hatoboi
 
Hivi ile muvi alicheza na Janet Jackson inaitwaje?
 
Nahisi utakuwa na madini mengi kuhusu hawa majamaa...
 
Nilisikiliza HIT EM UP (Dirty Version) , 2PAC alichana kuwa kamla mke wa jamaa
View attachment 2561322
 
Inasemekana pia alitaka kujitoa illuminati, hata nyimbo zake nyingi zilikuwa na message, za kuwaponda ma illuminati, mfano kiliminat, me against the world, nk wakatumia bifu lao na Big wakammaliza.
Suge knight ndie muuaji
Ya hilo la illuminati ni la kweli, 2pac alikataa kushikiwa akili na kundi hilo kama lilivyokuwa linawashikia kina Michael Jackson, Eddy Muphy nk.

Lakini sasa kwa pale Marekani hamna namna ambayo unaweza kulitanganisha kundi la illuminati na serikali ya Marekani.

Asilimia kubwa ya wanaoongoza Marekani kuanzia serikali, polisi, FBI, CIA, jeshi nk wote ni illuminati. Kwahiyo hao illuminati wanaweza kuwatumia FBI kufanya yao, maana ukigombana na polisi au FBI ni moja kwa moja umegombana na Illuminati. Pia ukigombana na hao illuminati ni moja kwa moja umegombana na serikali, polisi nk.

Kwahiyo yoyote anaweza kuhusika na mauaji hayo kwa kupitia kimvuli cha bifu la Big na 2pac au yule dogo Orlando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…