Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Ulienda kumjulia hali? Vipi ulionana na akina Gaddafi na Napoleon walikua on guard mda wote nje ya hospitali wakiwahofia opp gangs member wasije wakammakizia Pac.Ni vile tu TUPAC na BIG walikuwa watu maarufu sana lkn kimsingi Watu Weusi USA kuuana kwa kutumia Chuma ni sehemu ya Utamaduni wao...
Kabla ya oparesheni ile ya kutoa risasi kwenye pafu,alikua tayaei amepoteza vidole vitatu vya mkononi na amepooza upande mmoja alikua na fahamu ila hawezi kuongea bali kwa ishara.
Ni maelezo ya Napoleon aliyoyatoa kwenye interview yake na Vlad TV