Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Mkuu wajuzi wanajua vizuri kuwa Big alihusika na lile tukio la New York city. Kweli inawezekana OG ndio aliwezesha upatikanaji wa wale vijana waliomshambulia Pac kutokana na uzoefu wa matukio mbali mbali ambayo alikuwa ameshayafanya, lakini pia Big na label yao chini ya producer P diddy walikuwa wanajua kinachoendelee na walishirikiana kwa namna moja ama nyingine.

Wewe jiulize kama Big hakuhusika huyo OG alijuaje kama Pac atafika pale? muda na mlango atakaoingilia?

Lakini pia ni kwanini Big na Bad Boyz hawakuonesha ushirikiano hata wa kinafiki japo kwenda kumuona hospital na kumpa pole?

Hivi umpigie sim rafiki yako kwamba muda fulan utakwenda kumuona, akubali kisha ile kufika mlangoni kwake tu uvamiwe na watu wasiojulikana wakati yeye yupo ndani. Baada ya uvamizi ule upelekwe hospita na watu baki bila yeye kufika hospital wala kukupigia sim kukupa pole utamchukuliaje rafiki huyo na tukio lililokutokea?

Kuhusu kifo cha 2pac huenda Orlando alitumiwa tu kama chambo ili kupoteza ushahidi wa kweli wa waliohusika na mauaji yale. FBI ni wazoefu wakubwa wa michezo hiyo na ukizingatia serikali na mahakamani ni vya kwao. Historia ya mama yake na 2pac na 2pac mwenyewe viliifanya FBI na serikali ya Marekani kutafuta mbinu ya kuinyamazisha familia ile hasa baada ya kuona 2pac anakuja na njia zile zile walizokuwa wanapambana nazo miaka hiyo, yani ya kupigania haki za watu weusi kupitia nyimbo na mahojiano mbali mbali.

Lakini pia 2pac alikuwa na maadui wengi sana ambao ni hatari kuliko hata huyo dogo Orlando. 2pac alikuwa na uwezo wa kumchana raisi wazi wazi bila kupepesa macho, 2pac alimuongelea hadi Donald Trump (kabla hajawa au kuwaza kuwa atakuwa raisi wa Marekani) kutokana na kuwabagua watu weusi wazi wazi ( hili tuliliona hata alipokuwa raisi) aliita nchi zetu za watu weusi shithole. 2pac alikuwa na bifu na polisi pamoja na vyombo vyote vya usalama vya Marekani wakijaribu kumnyamazisha kwa kumpa kesi mbali mbali bila mafanikio.

2pac alitoa wimbo you wonder why i call ya bi..t.ch na mlengwa alikuwa ni mwanamama fulan kwa jina Mrs Tucker kama sijakosea, aliekuwa anajifanya anapambania haki za kijamii, huyu mama alikuwa anapingana na 2pac sana, kitu kilichofanya 2pac amuone huyu mama kama ni puppet wa wazungu wanamtumia kuzima mapambano ya watu weusi waliokuwa wanadai haki zao kwa namna mbali mbali. 2pac alikuwa na bifu na Illuminati ambao ni miongoni mwa lile kundi la freemason. So kwa aina ya maadui hawa aliokuwa nao 2pac, ni wazi kuwa kuna kundi lenye nguvu lililotekeleza mauaji hayo na jumba bovu kuangushiwa watu wawili yani Big na Orlando ambao pengine they had nothing to do about 2pac death.

Ndio maana Gadafi aliposema yeye ana ushahidi wa kina nani waliohusika na kifo cha 2pac akauwawa kwa kupigwa risasi, Frank aliekuwa bodyguard wa Pac nae apotakiwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani ambao utasaidia kwa namna moja kuunganisha dot za kumpata muuaji na yeye aliuwawa nyumban kwake, Dogo Orlando pia aliuwawa ili kupoteza ushahidi. Kwahiyo hapo ndo mtu mwenye akili utajua 2pac aliuwawa na watu gani.
Upo sahii mkuu nakubaliana wewe baadhi ya mambo.Lakini gangs afliation za L.A kama piru,s as bloods sets na crips na seti zake na latino kingz na seti zake zote zinahusika na vifo vya watu wengi including Pac.Na undercover wengi wa serikali ya marekani ni members wa hizo gangs.So lolote liliweza kutokea huo mwaka 1996.
 
Kenneth Superme alihusika pia na 50 cent kupigwa risasi baada ya 50cent kumdis kwenye ile hit ""How to rob""
 
Pddy hawezi kumuu BIGGIE nakataa,kwenye gari alipokuwepo BIGGIE Kulikua na ndugu yake wa damu..

Eugene deal ambae ni bondia wa pddy(Mtoto wa kaka yake)
Lil cease mjomba wa B.I.G na member wa JUNIOR M.A.F.I.A wote walifia humo..

labda bimkubwa ameona mwanae amesahaulika anataka kumrudisha kwenye trend ya vichwa vya habari...
pia inaweza kuwa ni mpango wa SUGE KNIGHT kama rivarls kwa PDDY...

Pddy ndio power control kwenye kesi ya SUGE Na anamchomekea kweli,halafu mwezi uliopita mama yake B.I.G Alikutana na SUGE mahakamani na waliondoka pamoja..

BEEF YA SUGE KNIGHT NA P.DIDDY HAIWEZI KUISHA
Kwani suge knight si yupo jela anatumikia kifungo,, huko mahakamani ana misala mingine au amekataa rufaa,,
 
😂😂😂 yani mle alimtukana Big mpaka mtu aliekuwa anasikiliza nyimbo za Big nae alihusishwa kwenye matusi.
*uck Mobb Deep, *uck Biggie
uck Bad Boy as a staff, record label and as a mother*ucking crew
And if you want to be down with Bad Boy, then *uck you too
Chino XL, *uck you too
All you mother*uckers, *uck you too..Hapo imetukanwa label ya bad boys na wafanyakazi wake wote hadi wafagiaji,Mobb Deep nao wakaingizwa humohumo na yeyote anayejihusisha au kuihusudu Bad Boy nae kaingizwa ilikuwa hatar sana hii😀
 
Pddy hawezi kumuu BIGGIE nakataa,kwenye gari alipokuwepo BIGGIE Kulikua na ndugu yake wa damu..

Eugene deal ambae ni bondia wa pddy(Mtoto wa kaka yake)
Lil cease mjomba wa B.I.G na member wa JUNIOR M.A.F.I.A wote walifia humo..

labda bimkubwa ameona mwanae amesahaulika anataka kumrudisha kwenye trend ya vichwa vya habari...
pia inaweza kuwa ni mpango wa SUGE KNIGHT kama rivarls kwa PDDY...

Pddy ndio power control kwenye kesi ya SUGE Na anamchomekea kweli,halafu mwezi uliopita mama yake B.I.G Alikutana na SUGE mahakamani na waliondoka pamoja..

BEEF YA SUGE KNIGHT NA P.DIDDY HAIWEZI KUISHA
SugeKnight si yupo ndani kifungo cha miaka 25 kwa kuau kwa kukusudia...alimgonga jamaa ambaye alikuwa na bifu naye makusudi hadi jaa kufariki
 
Suge anakesi zaidi ya 15,mwezi uliopita alipandshwa mahakamani kwa kesi ya ubakaji ndipo alipokutana na mama ake biggie...

Suge bado ana mawe yakutosha na anabase kuwa nje ya jela...hashindwi.
 
Upo sahii mkuu nakubaliana wewe baadhi ya mambo.Lakini gangs afliation za L.A kama piru,s as bloods sets na crips na seti zake na latino kingz na seti zake zote zinahusika na vifo vya watu wengi including Pac.Na undercover wengi wa serikali ya marekani ni members wa hizo gangs.So lolote liliweza kutokea huo mwaka 1996.
Hata na mimi nakubaliana kwa namna fulan ya kile ulichoandika. Ila kusema kuwa gangs wa LA watakuwa wamehusika ma mauaji hayo kidogo inanifanya nisikubaliane na wewe moja kwa moja.

2pac pale LA ndio alikuwa kama ngao yao kimziki na kingome. Pac alikubalika sana LA mpaka akajiona kama vile pale ndipo alipopaswa kuzaliwa.

Shambulio la 2pac lilifanyikia Nevada katika jimbo la Texas. Sheria za Texas haziruhusu mtu yoyote kutoka nje ya jimbo hilo kuingia na silaha ndani ya jimbo lao, na hiyo ndio sababu iliyosababisha kina 2pac na ulinzi wao wasiingie na silaha jimboni humo.

Lingine unafikiri hao wauaji walijuaje kama 2pac hakuwa na kinga ya kuzuia risasi kama sio mpango mahususi ulipangwa na watu wakubwa. Ukiangalia ile historia ya 2pac ambayo alikuwa anasimulia mwenyewe maisha yake toka utoto hadi kifo kilipotokea, utaona kuna sehemu wakati kina 2pac wakienda club walikutana na polisi wale wa beskeli, wale polisi wakaongea kwa muda na kina 2pac afu wakawaruhusu waendelee na safari yao.

Haikupita muda wakafika katika mataa na kukuta mataa ya upande wao yamefunga, hivyo ikawalazimu wasubiri mataa yaruhusu ndo waendelee na safari. Sasa katika mazingira hayo ndio shambulizi lilipotokea.

Kwahiyo inaweza kuwa kweli vijana wamepewa deal na wakubwa kwa ahadi kwamba hawatafuatiliwa na vyombo vya usalama. Kwahiyo na wao kwa makubaliano hayo wakafanya yao na jumba bovu kuangushiwa kina Orlando na Big ambao hawajui hili wala lile.

Wahenga walisema mdomo uliponza kichwa. Nyimbo ya Big who shot ya imemponza, na dogo Orlando lile pambano likatumiwa kama njia ya wauaji kufikia malengo yao.
 
Hii issue ni ngumu sana kung'amua kama ingekuwa rahisi basi naamini kuna watu wangeshajitosa mazima kujua ukweli. Either kwa ujiko tu au ku piga hela.

ila huwa nawaza wale outlawz wanaweza kuwa na abc's za waliomwangusha big maana kwa aina ya kifo alichokufa pac lazima jamaa wangeingia chimbo kulipa kisasi. Kama upande wa pac hawakuhusika moja kwa moja lazima outlawz kama washkaji wa karibu wa pac wangetamani kujua nani alimwangusha big.

Katika wa watu mwanzo waliamini kurejea kwa pac mimi nilikuwa mmoja wao ile tarehe ili pofika kimya nikaamini nikajua jamaa alikufa kweli.
All in all baada ya kusoma vitu vingi mitandaoni naamini all was set up kuwaondoka wote (kuwaangusha).

Ukirudi nyuma jinsi hali ya east n west side zilivyokuwa unawaza hivi leo ingekuwaje. ilikuwa hatari sana. hizi habari za suge knight sijui diddy sijui Orlando ni uzushi tu.
 
Na sio wimbo tu,kuna siku 2pac alikwenda kwenye jengo maskani ya Big nadhani studio,akamjulisha big kuwa nipo chini nakuja lkn alipo ingia kwenye lift kuna jamaa wakamshambulia vibaya mnoo na kumpiga risasi ya bega….Big akawa anashangaa jamaa hatokei ndio akamtuma chawa wake akamcheki ndio akakuta sekeseke linaishia akarudi mbio na kumwambia Big.Baada ya hilo tukioa ndio 2pac akaanza kwenda kwenye media na nakusema big amehusika.baadae akatoa ule wimbo wa JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala them up nadhama kama sijakosea jina lake.

Sijui ni mazingira gani yalitokea 2pac akapiga picha na mke wa Big na ile picha ikawekwa kwenye jarida maarufu huko kwao na 2pac kudai kamla.
Walimchapa risasi nyingi zaidi ya tisa. Na alienda hospital akiwa mahututi na ndipo akalazwa sana. Alikaa sana benchi.
 
*uck Mobb Deep, *uck Biggie
uck Bad Boy as a staff, record label and as a mother*ucking crew
And if you want to be down with Bad Boy, then *uck you too
Chino XL, *uck you too
All you mother*uckers, *uck you too..Hapo imetukanwa label ya bad boys na wafanyakazi wake wote hadi wafagiaji,Mobb Deep nao wakaingizwa humohumo na yeyote anayejihusisha au kuihusudu Bad Boy nae kaingizwa ilikuwa hatar sana hii😀
Bila kuwasahau Lil Kim na Da Brat nao waliwekwa kwenye list ya watukanwaji 🤣🤣🤣
 
Hii issue ni ngumu sana kung'amua kama ingekuwa rahisi basi naamini kuna watu wangeshajitosa mazima kujua ukweli. Either kwa ujiko tu au ku piga hela.
ila huwa nawaza wale outlawz wanaweza kuwa na abc's za waliomwangusha big maana kwa aina ya kifo alichokufa pac lazima jamaa wangeingia chimbo kulipa kisasi. Kama upande wa pac hawakuhusika moja kwa moja lazima outlawz kama washkaji wa karibu wa pac wangetamani kujua nani alimwangusha big.
Katika wa watu mwanzo waliamini kurejea kwa pac mimi nilikuwa mmoja wao ile tarehe ili pofika kimya nikaamini nikajua jamaa alikufa kweli.
All in all baada ya kusoma vitu vingi mitandaoni naamini all was set up kuwaondoka wote (kuwaangusha). Ukirudi nyuma jinsi hali ya east n west side zilivyokuwa unawaza hivi leo ingekuwaje. ilikuwa hatari sana. hizi habari za suge knight sijui diddy sijui Orlando ni uzushi tu.
Kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom