P Diddy apunguziwa muda wa kukaa Jela, sasa kutoka Februari 23, 2028

P Diddy apunguziwa muda wa kukaa Jela, sasa kutoka Februari 23, 2028

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Sean Combs maarufu kama Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka gereza la shirikisho la Marekani mapema zaidi baada ya tarehe yake ya kuachiwa kurekebishwa tena, kulingana na taarifa mpya zilizochapishwa na Federal Bureau of Prisons. Tarehe mpya sasa imewekwa kuwa Februari 23, 2028.

1781694192295.png
Mabadiliko hayo yanaonyesha kupunguzwa zaidi kwa muda wa kifungo chake, kwani awali Diddy alikuwa anatarajiwa kuachiliwa Mei 8, 2028, kabla tarehe hiyo kusogezwa hadi Juni 4, kisha Aprili 25, baadaye Aprili 15, 2028. Sasa tarehe hiyo imesogezwa tena hadi Februari 23, 2028, ikiwa ni mabadiliko ya mara kadhaa ndani ya kipindi kifupi.

Ingawa mamlaka za magereza nchini Marekani hazijatoa maelezo rasmi kuhusu mabadiliko hayo, kwa kawaida tarehe za kuachiliwa zinaweza kubadilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuhesabiwa kwa muda aliotumikia akiwa kizuizini, ushiriki katika programu za marekebisho, pamoja na tabia njema akiwa gerezani.

Soma, Pia:

======

Via Daily Mail

Sean 'Diddy' Combs' expected release date from federal prison has been adjusted again, according to updated figures published by the U.S. Bureau of Prisons.

The revised date is now listed as February 23, 2028, marking a further change from earlier projections this year, which had placed his release in April 2028 and previously in June 2028.

While officials have not publicly explained the latest adjustment, prison release dates can shift due to factors such as credit for time served, program participation, or good conduct time.
 
Kwahiyo muda sio mwingi yule mmanyema inabidi afanye booking ya ndege to USA jamaa akasnif harufu ya hormuz!!
Awamu hii aende kabisa na kilainishi akipendacho yeye...!
 
Back
Top Bottom