That isn’t final either. He’ll go home before 2028.Sean Combs maarufu kama Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka gereza la shirikisho la Marekani mapema zaidi baada ya tarehe yake ya kuachiwa kurekebishwa tena, kulingana na taarifa mpya zilizochapishwa na Federal Bureau of Prisons. Tarehe mpya sasa imewekwa kuwa Februari 23, 2028.
Mabadiliko hayo yanaonyesha kupunguzwa zaidi kwa muda wa kifungo chake, kwani awali Diddy alikuwa anatarajiwa kuachiliwa Mei 8, 2028, kabla tarehe hiyo kusogezwa hadi Juni 4, kisha Aprili 25, baadaye Aprili 15, 2028. Sasa tarehe hiyo imesogezwa tena hadi Februari 23, 2028, ikiwa ni mabadiliko ya mara kadhaa ndani ya kipindi kifupi.
Ingawa mamlaka za magereza nchini Marekani hazijatoa maelezo rasmi kuhusu mabadiliko hayo, kwa kawaida tarehe za kuachiliwa zinaweza kubadilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuhesabiwa kwa muda aliotumikia akiwa kizuizini, ushiriki katika programu za marekebisho, pamoja na tabia njema akiwa gerezani.
Soma, Pia:
- Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono
- Cassie amalizana na Diddy siku moja baada ya kumshtaki kwa Ubakaji
- Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
- Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17
- Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake
======
Via Daily Mail
Sean 'Diddy' Combs' expected release date from federal prison has been adjusted again, according to updated figures published by the U.S. Bureau of Prisons.
The revised date is now listed as February 23, 2028, marking a further change from earlier projections this year, which had placed his release in April 2028 and previously in June 2028.
While officials have not publicly explained the latest adjustment, prison release dates can shift due to factors such as credit for time served, program participation, or good conduct time.
Kuna watu Wana watuR Kelly ndio hawataki kumuachia.
Ibada za kishetaniHivi huyo msenge alikuwa anapata raha gani anawaleta malaya kwake halafu anawakodi wanaume wenzake wawatombe halafu yeye anakaa pembeni anatia nyeto?
Ibada za kishetwani. Hata unapoangalia picha za ngono na kuanza kujichua upo kwenye ibada za kishetwani.Hivi huyo msenge alikuwa anapata raha gani anawaleta malaya kwake halafu anawakodi wanaume wenzake wawatombe halafu yeye anakaa pembeni anatia nyeto?
Kama ana mashetani wasimtoe jelaIbada za kishetwani. Hata unapoangalia picha za ngono na kuanza kujichua upo kwenye ibada za kishetwani.
Na ikifika mwakani niko nje kabisaaaSean Combs maarufu kama Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka gereza la shirikisho la Marekani mapema zaidi baada ya tarehe yake ya kuachiwa kurekebishwa tena, kulingana na taarifa mpya zilizochapishwa na Federal Bureau of Prisons. Tarehe mpya sasa imewekwa kuwa Februari 23, 2028.
Mabadiliko hayo yanaonyesha kupunguzwa zaidi kwa muda wa kifungo chake, kwani awali Diddy alikuwa anatarajiwa kuachiliwa Mei 8, 2028, kabla tarehe hiyo kusogezwa hadi Juni 4, kisha Aprili 25, baadaye Aprili 15, 2028. Sasa tarehe hiyo imesogezwa tena hadi Februari 23, 2028, ikiwa ni mabadiliko ya mara kadhaa ndani ya kipindi kifupi.
Ingawa mamlaka za magereza nchini Marekani hazijatoa maelezo rasmi kuhusu mabadiliko hayo, kwa kawaida tarehe za kuachiliwa zinaweza kubadilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuhesabiwa kwa muda aliotumikia akiwa kizuizini, ushiriki katika programu za marekebisho, pamoja na tabia njema akiwa gerezani.
Soma, Pia:
- Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono
- Cassie amalizana na Diddy siku moja baada ya kumshtaki kwa Ubakaji
- Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
- Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17
- Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake
======
Via Daily Mail
Sean 'Diddy' Combs' expected release date from federal prison has been adjusted again, according to updated figures published by the U.S. Bureau of Prisons.
The revised date is now listed as February 23, 2028, marking a further change from earlier projections this year, which had placed his release in April 2028 and previously in June 2028.
While officials have not publicly explained the latest adjustment, prison release dates can shift due to factors such as credit for time served, program participation, or good conduct time.
Trump kafanya ushenzi zaidi ya Kelly,sio swala la blacks peke yaoYaani blacks kumbe ni shida wanatajirika kupitia haramu Tu, hawa ndio walikuwa Role models
Kifungo chake ni miaka 30. Federal prisoner anatumikia 85% ya prison term yake, kama atakuwa na good conduct muda wote. Kwa hiyo prison term ya R Kelly ni angalau 25.5 years, kabla ya adjustments zingine. Ukitoa muda alioutumia mahabusu (kabla ya kuhukumiwa) na credits zingine, labda ataishia kutumikia hukumu yake for roughly 22 years.R Kelly ndio hawataki kumuachia.
Kile kichupa cha Kirumi kilichovuja hivi karibuniIbada za kishetani
DuhKile kichupa cha Kirumi kilichovuja hivi karibuni
Diddy kamkodi escort wa kiume amtombe baby mama wa 50 Cent yeye anatia nyeto
Ila Sean Combs akili zake sidhani kama ziko sawa
Muislamu diamond na waislamu kwa ujumla wamefurahi sana kusikia hivyo..😁😁Sean Combs maarufu kama Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka gereza la shirikisho la Marekani mapema zaidi baada ya tarehe yake ya kuachiwa kurekebishwa tena, kulingana na taarifa mpya zilizochapishwa na Federal Bureau of Prisons. Tarehe mpya sasa imewekwa kuwa Februari 23, 2028.
Mabadiliko hayo yanaonyesha kupunguzwa zaidi kwa muda wa kifungo chake, kwani awali Diddy alikuwa anatarajiwa kuachiliwa Mei 8, 2028, kabla tarehe hiyo kusogezwa hadi Juni 4, kisha Aprili 25, baadaye Aprili 15, 2028. Sasa tarehe hiyo imesogezwa tena hadi Februari 23, 2028, ikiwa ni mabadiliko ya mara kadhaa ndani ya kipindi kifupi.
Ingawa mamlaka za magereza nchini Marekani hazijatoa maelezo rasmi kuhusu mabadiliko hayo, kwa kawaida tarehe za kuachiliwa zinaweza kubadilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuhesabiwa kwa muda aliotumikia akiwa kizuizini, ushiriki katika programu za marekebisho, pamoja na tabia njema akiwa gerezani.
Soma, Pia:
- Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono
- Cassie amalizana na Diddy siku moja baada ya kumshtaki kwa Ubakaji
- Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
- Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17
- Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake
======
Via Daily Mail
Sean 'Diddy' Combs' expected release date from federal prison has been adjusted again, according to updated figures published by the U.S. Bureau of Prisons.
The revised date is now listed as February 23, 2028, marking a further change from earlier projections this year, which had placed his release in April 2028 and previously in June 2028.
While officials have not publicly explained the latest adjustment, prison release dates can shift due to factors such as credit for time served, program participation, or good conduct time.
Tunatokaaa 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂Waambie watoto wa Kinondoni wafunge geti!
Kama ilivyo kwa Black South Africans, Black Americans wameathiriwa sana na historia yao. Wengi wao, vichwa vyao haviko sawa!Kile kichupa cha Kirumi kilichovuja hivi karibuni