P Diddy apunguziwa muda wa kukaa Jela, sasa kutoka Februari 23, 2028

That isn’t final either. He’ll go home before 2028.
 
Hivi huyo msenge alikuwa anapata raha gani anawaleta malaya kwake halafu anawakodi wanaume wenzake wawatombe halafu yeye anakaa pembeni anatia nyeto?
 
Na ikifika mwakani niko nje kabisaaa
 
R Kelly ndio hawataki kumuachia.
Kifungo chake ni miaka 30. Federal prisoner anatumikia 85% ya prison term yake, kama atakuwa na good conduct muda wote. Kwa hiyo prison term ya R Kelly ni angalau 25.5 years, kabla ya adjustments zingine. Ukitoa muda alioutumia mahabusu (kabla ya kuhukumiwa) na credits zingine, labda ataishia kutumikia hukumu yake for roughly 22 years.

Asipopata presidential pardon, safari yake bado ndefu!
 
Muislamu diamond na waislamu kwa ujumla wamefurahi sana kusikia hivyo..😁😁
 
Waambie watoto wa Kinondoni wafunge geti!
Tunatokaaa πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚
 
Kile kichupa cha Kirumi kilichovuja hivi karibuni

Diddy kamkodi escort wa kiume amtombe baby mama wa 50 Cent yeye anatia nyeto

Ila Sean Combs akili zake sidhani kama ziko sawa
Kama ilivyo kwa Black South Africans, Black Americans wameathiriwa sana na historia yao. Wengi wao, vichwa vyao haviko sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…