P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

Mondi mwenyewe alisema kuwa walienda kwa Diddy wakafanya mambo mengi mengine hawezi kuyasema.
Ukimuangalia alivyoongea kinyonge hapo kwenye "mengine hawezi kuyasema" unajua tu huyu keshaliwa
 
Binafsi naweza kumtetea Sean Love Combs kwa sababu:
Hakuna siku hata moja wazungu wanaimba sifa na mafanikio ya mtu mweusi! Kumbuka yaliyotokea kwa Robert Sylvester Kelly ndo maana kwa sasa hakuna ambaye ataongea mazuri ya Sean Love Combs. Ebu mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni! Tuhuma ambazo anapitia kwa sasa P Diddy ni muendelezo wa tuhuma ambazo watu kama R Kelly wamekutanana nazo!
Sasa tujiulize je Mahakama ikituka Sean Love Combs hana hatia na ameonewa, mtakuja tena kuongea haya au?!
 
Kwa hiyo mwenye makosa hapo ni Didy au yule aliyetoa matako ili awe maarufu?
 
Turudi nyuma kidogo Wakuu!
Kwenye tunzo za 94 za Academy Awards Jumapii ya usiku wa Machi 27 2022, Will Smith alipompiga kibao Chris Rock mara baada ya kumtania Jada Pinkett, lakini Chris Rock alicheka tu wala hakugombana wala kusema kitu kibaya kuhusu Will Smith. Amini usiamini Wazungu wanafuraha sana wakiona watu weusi mnagombana au kupishana! Usiku ule Chris Rock angesema arudishe kile kibao basi magazeti na mitandao ya wazungu ingeimba sana kuhusu habari hiyo. Tuwe na akiba ya maneno wakuu.
 
Kwa hiyo mwenye makosa hapo ni Didy au yule aliyetoa matako ili awe maarufu?
Mkuu Hypersonic mara kadhaa binadamu huwa tunalaumu na kusikiliza upande mmoja wa hadithi! Faragha ya mtu ni kitu cha msingi sana! Kama mtu alipeleka Tackle kwa akili na utashi wake, Je kwanini tuanze kumlaumu Diddy kuwa ndo mwenye makosa!?
 
Mondi mwenyewe alisema kubwa walienda kwa Diddy wakifanya mambo mengi mengine hawezi kuyasema.
Ukimuangalia alivyoongea kinyonge hapo kwenye "mengine hawezi kuyasema" unajua tu huyu keshaliwa
Kwamba mmesha-hitimisha kwamba Mwamba alivuliwa Ubingwa Kwa goli la ugenini πŸ™Œ

Wabongo tupewe picha tu, maneno tutajaza wenyewe πŸ€—
 
Mkuu kuna makala zimeandaliwa na waafrika mpaka unashangaa aisee
Mbaya zaidi hayo mambo mweusi inaonekana yanafanyika Kwa Waafrika tu, na sio Wazungu

Imagine hali anayopitia R.Kelly kule gerezani.

Yaani wameamua kuharibu carrier yake kabisa ya Muziki na biashara πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…