P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

Hiki kinachoendelea hapa ni Character Assassination.

Mnazungumza mambo ambayo hakuna mmoja wenu aliyeweza kuyashuhudia Kwa macho na akathibitisha isipokuwa hearsays

Sidhani kama ni afya kujaribu kuharibu image ya mtu ambayo ametumia muda mrefu na Fedha nyingi kuijenga hasa Wasanii wetu wa Bongo 🙌
Hapana sisi tuna mu attack pididy kwa kulaghai wasanii wetu. Sisi tunawatetea wasanii wetu nao wapate haki kama wale walomshtak pididy marekan
 
Hiki kinachoendelea hapa ni Character Assassination.

Mnazungumza mambo ambayo hakuna mmoja wenu aliyeweza kuyashuhudia Kwa macho na akathibitisha isipokuwa hearsays

Sidhani kama ni afya kujaribu kuharibu image ya mtu ambayo ametumia muda mrefu na Fedha nyingi kuijenga hasa Wasanii wetu wa Bongo 🙌
Cha ajabu ni kuwa discussion nzima hapa inatokana na clip ambayo mtoa mada pekee ndio ameiona. Sasa hivi kuna mambo ya deepfaking kwenye video. Clip inaweza kuwa imetengenezwa na wanaomchukia P.Diddy kwa kutumia AI na clip ikaonekana ni ya kweli kumbe sio. Sasa kuhusisha watu wengine kwa hisia tu, sio sahihi.
Na hata kama ni kweli P.Diddy ni mbanduaji, haimaanishi kuwa kila aliyekutana naye atakuwa amebanduliwa.
 
Umesema sahihi Mkuu

Watu wanaongelea vitu vya kusadikika maana hakuna aliyeweza kushuhudia huyo Diddy akimbandua Mondi ama Meneja wake.

Kinachofanyika hapa sio kizuri hata kidogo, maana kina lengo la kufifisha juhudi za wasanii wetu.

Wakishaporomoka Kiuchumi/mafanikio tunakuja kuwaandika tena humu huku tukiwacheka 🙌
 
Wanaogopa mkuu pengine? Ndo maana tunawashaur kama aliwala wasiogope wamshtak pdidy watalipwa tu, kumbuka pididy ashasema ye hachagui na yule bwana hana huruma mkuu.
Kwa akili za kawaida Mwanaume rijali unaweza kukubali uingiliwe na Mwanaume mwenzio kisa atakupa pesa/umaarufu?

Sidhani kama hili Lina ukweli

Wengine tukiwa tunatomb***na tu na Wanawake hatupendi tuguswe makalio yetu hata Kwa bahati mbaya ndiyo iwe mtu mzima kukubali kuingiliwa.

Me nadhani tunamkosea Mondi kwenye hili.

Mondi anaongelewa haya kwakuwa amefanikiwa kuliko wasanii wenzake wote Afrika Mashariki, hivyo inatafutwa njia ya kujaribu kumshusha 🙌
 
Back
Top Bottom