Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Kiba umekuja[emoji23]Hio ni Story za vijiweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiba umekuja[emoji23]Hio ni Story za vijiweni
Ndo tabia zako we mjaa laana...Na wewe mbona husemi unavyoliwa kote kote [emoji851]
Dizaina ndo Nani tena wengine Sisi hatujui mji unaendaje huuDizaina ni wa kiba, na hawaachani kamwee, hata yule mzungu amlitafutia mond ili amkomoe kiba, kakuta dyadya etu kafa kaoza kwa kiba, haoni wala hasikii.
Hapana sisi tuna mu attack pididy kwa kulaghai wasanii wetu. Sisi tunawatetea wasanii wetu nao wapate haki kama wale walomshtak pididy marekanHiki kinachoendelea hapa ni Character Assassination.
Mnazungumza mambo ambayo hakuna mmoja wenu aliyeweza kuyashuhudia Kwa macho na akathibitisha isipokuwa hearsays
Sidhani kama ni afya kujaribu kuharibu image ya mtu ambayo ametumia muda mrefu na Fedha nyingi kuijenga hasa Wasanii wetu wa Bongo 🙌
Kwani Kuna Msanii yeyote Bongo amelalamika kuhusu kunyanyaswa kingono na P.Diddy?Hapana sisi tuna mu attack pididy kwa kulaghai wasanii wetu. Sisi tunawatetea wasanii wetu nao wapate haki kama wale walomshtak pididy marekan
Wanaogopa mkuu pengine? Ndo maana tunawashaur kama aliwala wasiogope wamshtak pdidy watalipwa tu, kumbuka pididy ashasema ye hachagui na yule bwana hana huruma mkuu.Kwani Kuna Msanii yeyote Bongo amelalamika kuhusu kunyanyaswa kingono na P.Diddy?
DuhDaaaa Mond nae kaliwa kibogaa duuuu duniaa hiiii.....nae akirudi anakuja kuwabandua wake.....heeee Harmonuze? Aliliwa mae ....daaa Kiba nae bingwa sana kuwala wanaume kashfa hiyo anayoooo
Sasa nimeelewa kwanini aliita dirty moneyDiddy Dirty Money
Bora ww umeelew mkuu wengine hawaelew kwamba yule bwana pdidy hanaga huruma mkuuSasa nimeelewa kwanini aliita dirty money
Jamaa ukimuangalia unamuona kama mr nice fulani ivi ila ni hatari.Bora ww umeelew mkuu wengine hawaelew kwamba yule bwana pdidy hanaga huruma mkuu
Kabisa yule jamaa kapitia life flan nyuma inaonekana la kihuni sana, japo muonekano ndo huez muhis kabisaJamaa ukimuangalia unamuona kama mr nice fulani ivi ila ni hatari.
Watu wanapitia mengi ambayo yanawabadilisha, si ajabu hata yeye walishamfirimba.Kabisa yule jamaa kapitia life flan nyuma inaonekana la kihuni sana, japo muonekano ndo huez muhis kabisa
Cha ajabu ni kuwa discussion nzima hapa inatokana na clip ambayo mtoa mada pekee ndio ameiona. Sasa hivi kuna mambo ya deepfaking kwenye video. Clip inaweza kuwa imetengenezwa na wanaomchukia P.Diddy kwa kutumia AI na clip ikaonekana ni ya kweli kumbe sio. Sasa kuhusisha watu wengine kwa hisia tu, sio sahihi.Hiki kinachoendelea hapa ni Character Assassination.
Mnazungumza mambo ambayo hakuna mmoja wenu aliyeweza kuyashuhudia Kwa macho na akathibitisha isipokuwa hearsays
Sidhani kama ni afya kujaribu kuharibu image ya mtu ambayo ametumia muda mrefu na Fedha nyingi kuijenga hasa Wasanii wetu wa Bongo 🙌
Binafsi sasa hivi ndio nimeelewaSasa nimeelewa kwanini aliita dirty money
Umesema sahihi MkuuCha ajabu ni kuwa discussion nzima hapa inatokana na clip ambayo mtoa mada pekee ndio ameiona. Sasa hivi kuna mambo ya deepfaking kwenye video. Clip inaweza kuwa imetengenezwa na wanaomchukia P.Diddy kwa kutumia AI na clip ikaonekana ni ya kweli kumbe sio. Sasa kuhusisha watu wengine kwa hisia tu, sio sahihi.
Na hata kama ni kweli P.Diddy ni mbanduaji, haimaanishi kuwa kila aliyekutana naye atakuwa amebanduliwa.
Kwa akili za kawaida Mwanaume rijali unaweza kukubali uingiliwe na Mwanaume mwenzio kisa atakupa pesa/umaarufu?Wanaogopa mkuu pengine? Ndo maana tunawashaur kama aliwala wasiogope wamshtak pdidy watalipwa tu, kumbuka pididy ashasema ye hachagui na yule bwana hana huruma mkuu.
acha utani...!Ndiomana Simba naye kalipizia kwa Lokole, kumbe hasira za kubanduliwa 🤣🤣🤣🤣