P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Ju Juzi katokomea na boat baharini makachero wakaishia kukamata wanae tuu
 
Yaani diddy amtokee snoopy, mbona snoopy ni jitu gumugumu hivi? Angekuwa mlainilaini hapo isingekuwa ajabu
Hao sijui hata wanaongea nini,didy na snoop mbalimbali,wako makundi mawili tofauti.
Kama walipiga picha ilikua poa tu.
Snoop ana family yake anaipenda sana.
Hata michepuko hana.
Mibangi anavuta vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…