P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Kila mbabe na mbabe wake.
 
Naanza kuamini .. haya hasa ukisikiliza interview ya diamond alipoenda kwake P-didy alichokiona
 
Ingawa Didy hata yeye alivyochukuliwa kwenye game aliwahi pigwa pipe na mameneja wa label yake ya kwanza alipoanzia kufanya kazi Kabla ya kumiliki label yake , so from there anajenga utamaduni huo
Na FBI Leo wamevamia nyumba yake na kufanya ukaguzi kwa shutuma za human trafficking na prostitutions
Huyu jamaa ni criminal way back

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Imagine vile unamsaundisha Snoop hadi anatoa mzigo, aaah mimi siamini hizi porojo zako.
Hahaha inaweza kuwa kweli. Unaambiwa hadi huku bongo waja wanamsaundisha hadi mwarabu fighter na anakubali kabisa kutatuliwa.

Pia Moran wanaua hadi simba lakini wakienda Zenji waja wanapigwa saundi hadi wanagawa mzigo vila shurti.
 
Mimi nadhani wazungu ni waongo hizi ni fabrication. Wamempoteza Jonathan majors hivihivi kwa ubaguzi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…