MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Aisee, kwa hivyo hao wote ni marindalessKaribu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, kwa hivyo hao wote ni marindalessKaribu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
Kivipi?kaishamla kisamvu cha kopo bwana jamie foxx
Kila mbabe na mbabe wake.P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema jamaa alishiriki kummaliza hata BIG kwa kiwa alitaka kuwa peke yake kwenye lebel ya Bad Boyz. Akajua Faith Evance kwake si tatizo lolote, atajua kuishi naye kuliko BIG.
Halafu mambo anayozungumziwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzake yanashamiri sana, mchungaji TD Jakes na Jamie Foxx wanaweza kutuambia zaidi kwenye hili.
Ukizunguana na P Diddy, sahau kuwa nominated na tuzo za Grammy, mwamba ana maubabe yake kishenzi.
Ila dunia ni hiihii, kuwa mafia ujuavyo, end of the day utakuja kulipa hapahapa duniani.
Karma is a B*itch.
Duuh mambo ya kuliwa mnayataja kirahisi sana.Karibu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
Hizi sasa chaiKaribu wote aliowa sign kwenye label yake alikuwa anawafira kama condition ya kuwa promote. Amemla Usher Raymond, Meek Mill, TD Jakes
Hivi mnaongelea kina nani? Yani mauza uza tu ndo naona.hata kukosana na Mase pamoja na Black Lob sababu ni umafia wake,blood line ya kisomali ile aiachi asili.
Jamii forum kila mtu ana kashifa ya kuinamishwaDuuh mambo ya kuliwa mnayataja kirahisi sana.
P didy ni mpuuz unaambiwa hadi snoop na 50 cent kawafumua marinda.Duuh mambo ya kuliwa mnayataja kirahisi sana.
Naanza kuamini .. haya hasa ukisikiliza interview ya diamond alipoenda kwake P-didy alichokionaP Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema jamaa alishiriki kummaliza hata BIG kwa kiwa alitaka kuwa peke yake kwenye lebel ya Bad Boyz. Akajua Faith Evance kwake si tatizo lolote, atajua kuishi naye kuliko BIG.
Halafu mambo anayozungumziwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzake yanashamiri sana, mchungaji TD Jakes na Jamie Foxx wanaweza kutuambia zaidi kwenye hili.
Ukizunguana na P Diddy, sahau kuwa nominated na tuzo za Grammy, mwamba ana maubabe yake kishenzi.
Ila dunia ni hiihii, kuwa mafia ujuavyo, end of the day utakuja kulipa hapahapa duniani.
Karma is a B*itch.
Imagine vile unamsaundisha Snoop hadi anatoa mzigo, aaah mimi siamini hizi porojo zako.P didy ni mpuuz unaambiwa hadi snoop na 50 cent kawafumua marinda.
Ila binadamu. Yani Diddy anamtani kumtongoza snoop hadi snoop anakubali kabisa tena kwa hiari kutatuliwa?
Wazungu ni waongo na wabaguzi sana.
Hahaha inaweza kuwa kweli. Unaambiwa hadi huku bongo waja wanamsaundisha hadi mwarabu fighter na anakubali kabisa kutatuliwa.Imagine vile unamsaundisha Snoop hadi anatoa mzigo, aaah mimi siamini hizi porojo zako.
Mimi nadhani wazungu ni waongo hizi ni fabrication. Wamempoteza Jonathan majors hivihivi kwa ubaguzi wao.Ingawa Didy hata yeye alivyochukuliwa kwenye game aliwahi pigwa pipe na mameneja wa label yake ya kwanza alipoanzia kufanya kazi Kabla ya kumiliki label yake , so from there anajenga utamaduni huo
Na FBI Leo wamevamia nyumba yake na kufanya ukaguzi kwa shutuma za human trafficking na prostitutions
Huyu jamaa ni criminal way back
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ni staa gani huko majuu ambaye hajaliwa?Hahaha inaweza kuwa kweli. Unaambiwa hadi huku bongo waja wanamsaundisha hadi mwarabu fighter na anakubali kabisa kutatuliwa.
Pia Moran wanaua hadi simba lakini wakienda Zenji waja wanapigwa saundi hadi wanagawa mzigo vila shurti.