HAHAHAHAHHAHHA umewoooona enh best!Kwakuwa nimemsikia Rais Magufuli ni mpenzi wa Shilawadu kwa sasa umbea ni jambo la heshima kubwa na lenye hadhi.
Pigeni umbea kwa kujidai mnayo support ya Rais naye ni mshabiki wa Shilawadu.
Eti "lilitomba miaka ya 2000 aisee watu mwajua kuvunjana mbavu
Kisa cha kufanya hivyo boss
We nawe kama chiz unaongea kama umekunywa viroba, hiyo nyumba ya bamaga Kwan ni yake?? Kumbe hata humjui vizur shwain nyumba ya mama ake Kwan kusoma ndo kufanikiwa acha ushambaP Funk amesoma IST, wewe hata ujambe ushuzi hapa mpaka Ntwara kwenye ukoo wenu hakuna hatakayethubutu kugusa IST bwege kabisa.
Kuwa na nyumba tu Bamaga ni ushindi tosha kwa waelewa pimbi wewe.
Unawafahamu?Sasa mbona watoto wake hawana hata chembe za uarabu au uzungu
...teh hee hee.,kubwa jinga bhana!AHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHAHA!
pooooovu poooovu best!
TWENDE TARATIBU!
motel jasmeena ndo wanapokuvunjaga dhakar enh?
saaasa umepamiss jasmiiiina au umewamiss wanaokutia kilema cha kiuno mpk vidole!?
Ila na mi name mfukunyukuuuuu sasa nayafuatilia ya nini na linalovunjwa ni hilo jijongoo ulilonalo?
heb niache umbea !
kaza taya hiyo ukiwa unacheka!...teh hee hee.,kubwa jinga bhana!
..zee zima linaigiza uchakubimbi!
.halafu lenyewe linajiona janjaaaaaa!
Chezea Tanganyika International school ada ya miaka saba unanunua mtaa mzima mbagala enzi hizoLabda tumuulize kajala, ila jamaa anaonekana smart sana kichwani, anajua anachokifanya
Salama Jabir
P-Funk
Madam Rittha, ndege wafananao huruka pamoja
Tugari fulani hivi, vinatengenezwa na Toyota.IST ndo nn
Waswahili ni wepesi sana kupoteza utambulisho, sijui kwa nini ili hali wenzetu huko ni wagumu sana.Huyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.
na aliwahi kumtandika kichwa kijana wa kiholanzi aliyemuita nyani huko huko uholanzi.Jamaa ana asili ya ki-dutch.
Kati ya mama yake au baba yake ni muholansi (maana nakumbuka kwenye interview yake ya nyuma alishasema kuwa "waholansi ni wabaguzi, na alienda huko kwa mzazi wake na akaw akipita mtaani watu wanamnyoshea kidole")
Hehehe Ulikua shift 1 au 2 ...Mimi liliniacha form 3 2003 nadhani alitimkia Kenya then ndio NBA....Ila ndugu yangu hashimu ametoka mbali sana nakumbuka wakati wa mapumziko kwa chinga muuza mihogo chini ya mkorosho karibu na mabwawa ya samaki hashimu tunapanga nae foleni kipande cha mhogo sh 20 ukitoa hamsini unapewa vitatu.Wakati wa game za madarasa jamaa tunamweka golikipa na viatu vyake vya kuunganisha Soli.Hashim aliniacha Makongo form three,miaka ile ya 2004!
Alikuwa anarudiarudia masomo kwa kuzungusha mibashite!
Ila mpira wa kikapu ulimtoa!
Nakumbuka alivyokuwa anateseka kupanda vipanya vya Kawe Mwengea au Tegeta Posta kwa ule urefu wake!
Duh mkuu naona umeamua kusema ya moyoni kabisaYaani uishi na kina Kobe Bryant miaka 5 asubuhi upo nao jioni upo nao mchana upo nao..mazoezini kambini na kwenye mechi halafu eti ubaki tu kuongea kama kingwendu??..huo utakua sio tu ulofa ila utakua ufala..lazima ubebe swaga za mtoni..hao mnaowaona wanakaa mbele na wakirudi wanaongea kama senga ujue walikua wanajifungia tu vyumbani huko..
Haswaa tulikua pamoja hata mm nilikua navaa nembo ya Kijani(shift 1)Ule ukoko ulikua unanisaidia sana nikitoka kwenye adhabu za afande Miraji (R.I.P)na babu chacha.Rural Swagga ahahaha,mie nilikuwa shift 1!
Umeusahau na ukoko wa 500/=!?