P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?


Kweli tu ubinafsi ndio unawakimbiza
 
Hiki ni kipimo sahihi cha ujinga na upumbavu pasee.

Wannabe.
 
Akili za kimaskini ni mbaya sana, nimefanyakazi KLM na mama yake Paul ni swahiba wangu mtoto ninayemjuwa mimi ni Paul na mama yupo mwenyewe hivi kuna ubaya gani mama kukaa na mtoto wake?
Na kimsingi sio mama kukaa na mtoto wake bali mtoto kukaa na mama ake!! Majani uwezo wa kukaa kwake anao kwa 100% lakini hawezi kumwacha mama ake aishi peke yake au na ndugu/wafanyakazi pekee!
 

Kleptomaniax "lilitomba" kina nani ?
 
Jina la passport ni Paul, japo tulizoea kumuita Khalifa tangu utoto tutacheza nae basket ball kwa kina Master J Oyster bay, baba Mholanzi mama mbongo, anaongea kiswahili fresh tu sema usela umemzidi,
Hasheem Thabeet nashangaa kutafuta maneno ya kiswahili wakati rafiki yetu yupo USA miaka 17 mpaka ameoa anaongea kiswahili fresh, naona kama ni kujisikia zaidi.
 
Diamond alikua hajui kimombo,mara ghafla kajua cha ku mix hataki tena kukijua kibongo.haya sisi na mungu anawaona
 
Hata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"
Mwambie ras simba tupo wengi tuotaka usaidizi wake....au i wish i could be ras simba? ??, ili niwafundishe?,
 
Kwa hiyo mkuu Unataka kutuambia
Majani naye amebashite chet cha kuzaliwa
 
Uyu Hasheem mbona wabongo wengi uwa wanamgwaya jamaa tatizo nini
 
Uyu Hasheem mbona wabongo wengi uwa wanamgwaya jamaa tatizo nini
Alikuwa na nguvu sana awamu ya JK, ndiyo maana alimpiga mtama TID Billicanas na hakutolewa nje wala kushitakiwa, ulaya issue kama hiyo anakulipa hela nzuri tu, pia yuko fit sana hata ukisalimiana na kwa kushikana mikono utalijua hilo, isitoshe ana jeuri ya pesa japo kiwango chake kwa sasa kimechukua kwa kula bata zaidi ya mazoezi.
 
Wanatia hasira sana hawa ngurubange mkuu. Kuna watu waliishi nchi za watu miaka mingi sana na kusoma shule za maana lakini akiongea Kiswahili utafikiri anatokea kwa Mtogole. Hawa walioishi maisha duni wakipata nafasi kidogo wanasahau mpaka Kiswahili na wajumbe wao wa nyumba kumi kumi. Huyo Hashimu kapokelewa pale Houston juzi juzi tu ananuka kikwapa na mdomo....kabla hajaenda UCONN eti sasa hivi Kiswahili kinampa shida. Daaah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…