P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

Hahahahha sipati picha myama tid alivyoshushwa chini, kumbe jamaa ana dharau sana aliwahi pia kumpiga dereva boda kisa kavunja taa ya hammer lake japo yy ndo alikuwa na makosa
 
Hahahahha sipati picha myama tid alivyoshushwa chini, kumbe jamaa ana dharau sana aliwahi pia kumpiga dereva boda kisa kavunja taa ya hammer lake japo yy ndo alikuwa na makosa
Ana hasira za haraka sana, ila usa hafanyi upumbavu huo
 
Alibahatika kufanya hivyo kwa mtu ambaye hakutambua Haki yake ya msingi. Angekutana na Vijana wa mjini kitendo Kama kile ndio ingekuwa mwisho wa Career yake NBA na angemtajirisha aliyempiga mtama hadharani. NBA Inazingatia vigezo na masharti kwa wafanyakazi wake (NBA Players).
 
Wadau,
Mimi naona PFunky Majani yupo fresh tu ktk lugha ya Kiswahili. Inategemea anaongea na mtu/studio wa/ya aina gani ili atilie mkazo kwa Kiswahili au Kiingereza kitu anachozungumza na pia anayemfanyia mahojiano kama ni mtu anayeelewa industry ya music / entertainment au la n.k


P FUNKY INTERVIEW
Source: abby mrisho

Producer P-Funk akiongelea ujio mpya wa Bongo Records
Source: Bongo5 TV
 
Jamaa Ni [HASHTAG]#mpare[/HASHTAG] kutoka milimani mama yake anaishi USA River Karibu na Ngurudoto Hotel
 
Nadhani ulichokisema mwishoni ni sahihi zaidi, weng hawana uelewa mzuri wa lugha hizo mbili.
 
Kwa Afrika kumlipa fidia ni ngumu sana, atatumia corruption case iende hata miaka kumi, wakipata likizo badala afanye mazoezi ya nguvu kwa nafasi yake anayocheza kama defence yeye anazunguruka duniani kula bata, msimu ukianza anaonekana performance yake iko chini kama yeye anavyopenda chini, ndiyo maana wakamtoa NBA
 
Kuongea anaongea vizuri hana mbwe mbwe lakini ukiangalia uzungumzaji wake wa kiswahili utagundua ni lugha ambayo hatumii mda mwingi kuizungumza
 
Hata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuongea anaongea vizuri hana mbwe mbwe lakini ukiangalia uzungumzaji wake wa kiswahili utagundua ni lugha ambayo hatumii mda mwingi kuizungumza

Watangazaji pia wanaweza kuwa wanamfanya aegamie upande fulani ktk matumizi ya lugha iwe Kiingereza au Kiswahili kama mfano wa clip mbili nilizoweka, P-Funk na mtangazaji wa Bongo5 TV ni watu wana ''rapport / bond '' yaani mzuka wao ni wa aina moja. Na hakika hata angekuwa yupo studio za Mkasi TV pia itakuwa hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…