P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

Hahahaaaaa jamaniiiiiiii!
 
Hakuwa na nguvu awamu ya JK bali alikuwa na nguvu wakati yupo NBA! Na huko kumtandika mitama TID hakuhusiani chochote na JK manake, tangu enzi za Mwarabu, na hatimae Mjerumani kisha akaja Mwingereza na hadi enzi za Nyerere na hadi kesho; watu wenye midomo kama TID walitandikwa na wanaendelea kutandikwa mitama!!
 
hata wewe umo kwenye hili kundi
 

P. Funk

Paul Majani


Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa
Paul Matthysse
Pia anajulikana kama P Funk, Majani, Kinywele Kimoja, Mdachi nk.
Asili yake Tanzania
Aina ya muziki Hip Hop na Bongo Flava
Kazi yake Mtayarishaji
Ala Kinanda,Guitar, Kinakilishi
Miaka ya kazi mn. 1995 -
Studio Bongo Records
Ame/Wameshirikiana na Master Jay, Bonny Luv,Rajabu Marijani, Bizz Man, Boznia nk.
Paul Matthysse ( P Funk ) ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania.

P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.

Kwenye miaka 1991-92 wakati yupo bado shule IST (International School Of Tanganyika. Alikuwa mtundu mtundu kwenye studio za pale shule.. kupiga- piga midundo mbali mbali ya hapa na pale na kufoka-foka(Rap music) na pia alikuwa mbele sana kwa kupiga musiki kwenye Pati mbali mbali.. na hapo alikuwa kupenda sana musiki kwa ujumla.



Yaliyomo
[1Elimu ya Muziki na Uzoefu Wake

Elimu ya Muziki na Uzoefu Wake[hariri | hariri chanzo]
P-Funk alikwenda kimasomo ya Mlio (sound) engineering kwa miezi 18 pale Amsterdam, Netherland kabla ajaingia kwenye kutayarisha muziki. Alikuwa anajua kitu anachotaka kufanya. Mwaka 1995 akiwa na vifaa vyake vichache alianzisha kampuni yake ya kurekodi muziki nyumbani kwake. Na ni katika kipindi hicho hicho neno ’Bongo’lilipokuwa linatawala katika misemo ya kiswahili cha mitaani na lilikuwa linaelezea hali halisi ya maisha ya Dar es Salaam na ndio kipindi hicho album ya Bongo ilipozinduliwa. Akiwa bado ni mtayarishaji muziki mdogo, amefanikiwa kupata umaarufu mkubwa katika fani ya muziki na hasa katika milipuko ya nyimbo zenye ladha ya Bongo.

Anakubali kuwa amepata sana utaalam na mbinu kutokana na kufanya kazi watayarishaji wengine wa muziki wa Kitanzania kama Master J, Bonny Love na Rico. Mawazo yake na namna ya kuyaoainisha na muziki ndio hasa ambacho kinafanya muziki wake ufanikiwe.

Tuzo Alizopata[hariri | hariri chanzo]
Wasanii Aliowainua[hariri | hariri chanzo]
Kwanza alianza kwa kumpandisha chati Juma Nature, ambaye ndio nyota wa nyimbo za Bongo Flava, akaendelea kwa kutayarisha santuri ya Solo Thang, AY, Zay B, Sista P, Mike T na pia alishawahi kufanya kazi na Professor Jay alipotoa santuri yake mwenyewe.

P Funk ana wasanii wengine wengi wanaotumia nembo ya kampuni yake katika utengenezaji wa albamu.

Pia Anajulikana Kama[hariri | hariri chanzo]
  • P Funk
  • Halfani
  • Majani
  • Kinywele Kimoja
  • Mkono wa mungu
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu P. Funk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.




kazi ni kwako soma
 
hata wewe umo kwenye hili kundi
Ah wapi.

Mimi nina uwezo wa kuongea na kuandika lugha moja kwa ufasaha wa hali ya juu kabisa bila kuchanganya na lugha ingine.

Kama ni kimombo basi naweza kukiandika na kukiongea mwanzo mwisho.

Kiswahili nacho vivyo hivyo. Ikija kwenye Kisukuma ndo usiseme kabisa. Hiki ndicho huwa najivunia zaidi kukijua. Kwangu ni fahari ya aina yake ingawa zamani niliwahi kuchekwa na kudhihakiwa kuwa eti naongea 'kilugha'. Dokezo hapo ni kwamba ukiongea 'kilugha' basi wewe ni mshamba.

Kwa hiyo kwangu mimi ni tofauti kabisa. Huwezi kuniweka kwenye hilo kundi.

Halafu unajua nini? Watu huwa wanastaajabu na kubaki midomo wazi wanapogundua kuwa naweza kuongea Kisukuma tena kile cha Ntuzu kabisa bila hata kwakwaru.

Mimi ni namba ingine kabisa.
 
Mbona povu p funk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…