P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo neno hiloo...!!mm pia sikubali hata sifurii

halafu wenzie sasa weupeee 0.5 pyuaaa
we bana weeee JUMA ALIMSAIDIAPOOOO!
haiwezkani1
damu ya kiholanzi unaijua unaiskia ticha?
 
...mtu mzima kuonesha ujinga wake hadharani ni aibu sana;
..vitu vingine uwe unavunga tu,
.....sasa usipokubali wewe inabadilisha nini!
we nae sogea huko na tenzi zako !
si uende waliko wenye akili wenzio!
 
Hata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"
Hata tukiwa kwenye mambo yetu yale huwa unalia kitrump halafu ghafla naskia usije ukamwaga ndani
 
International Tanganyika School
Corrections: International School of Tanganyika. Wanasoma watoto wa Mabalozi, Experts, UnReprensatives, Intl NGO na wachache wa nchi hii wenye fedha yao. Mtoto wa baby class ana uelewa wa kutisha.
 
W
Waliosoma na kuishi India huwasikii wakiongea kihindinglish lakini hawa wenzangu ndio umarekani kwa kwenda mbele
 
we nae sogea huko na tenzi zako !
si uende waliko wenye akili wenzio!
....kaoshe papa hilo kama puru la ng'ombe kwanza,
...P amekulalamikia mtoto sio wake,au unawashwa?
..muwasho ukizidi,
.kalia chupa!
 
Watu maskini wakiona tajiri anaongea kingereza anasema anajifanya,tuambieni nani asiyejifanya?
 
Mnataka na cheti cha P funk Majani??? [emoji15] [emoji15]
 
Sijui huwa wanakumbwa na nini maana huyo utoto wake alikuwa Dodoma kabla ya kuhamia Dar amekulia malezi ya kawaida lakini ajabu kwenye kuongea utasema amekulia huko (inahitaji mshipa wa noma uwe umekatika kuzungumza vile hasa pale unapokutana na mtu ambae mnafahamiana tangu utotoni)
 
Huyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.
Na jina kaweka swaga Hasheem
 
Jesus..!!
 
Haaa haaa...mkuu umeua!

Yaani hapa ndo nimetoka kukatisha nyumbani kwao hapa bamaga..

Jf kwa kusifia khaaa!
...kaone na kengine haka..,kanajichekesha ka zuzu ili kupunguza stress za maisha mabovu!
...thamani ya hilo eneo tu peke yake kutokana na location ni mara 100 ya kajumba kenu ka mbavu za mbwa alikojenga babaako baada ya kupata mafao ya kustaafu!
...wewe na hao mambwiga wenzio mnataka jilinganisha na .5 aliekulia ushuani na kusoma IST,ama?wakati baba zenu wanahaha kukopa hela ya kuwatibu degedege na kifaduro,yeye tayari ana studio!
..endeleeni kujitekenya na kujichekesha mpunguze stress za maisha angalau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…