Tatizo ni hawa madj wa huku ndio shida, dj kwenye playlist kazoeama kucheza nyimbo za nand afu kwenye freestyle battle eti anapewa authority ya kuchagua mabeatNadhani lakini ma Ma mcee wa freestyle sometimes wawe wanapita kwenye beat hata zile ngumu kumeza maana beat zilizo zoeleka wanazionea kinoma
Tunaishi na ma genious sana, hawa jamaa huwa na hisi wana uwezo mkubwa pia wakufikiri zaidi ya hata watu wanavyo wafikilia maana track zao, verse zao ni [emoji91][emoji91] tupuSijui unawakilisha wapi, nachafua tanzania nenda kawaulize wasafi.../
Niite moko wa miujiza, nishafanya mengi kipi utaniuliza.../
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo umepatia broo plus fresh ya fid qKama Still ya Dr. Dre na Snoop Doggy
Hapana.. Haukuwa JF. Niliuona Twitter.Moja ya uzi wa jf sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo umepatia broo plus fresh ya fid q
Nmeona huo utumbo kwenye dk 10 za maangamizi, dj kupangilia beat iendeane na flow ya mcee shida,..kiasi kwamba mcee inabdi Mic check 1,2 ziwe nyingiTatizo ni hawa madj wa huku ndio shida, dj kwenye playlist kazoeama kucheza nyimbo za nand afu kwenye freestyle battle eti anapewa authority ya kuchagua mabeat
Alikuwa Dj nani?Nmeona huo utumbo kwenye dk 10 za maangamizi, dj kupangilia beat iendeane na flow ya mcee shida,..kiasi kwamba mcee inabdi Mic check 1,2 ziwe nyingi
mi ndo rapper best group kwa nyumba, hapa maboya wakijitusu wanadundwa.../Kama haupendi alichofanya mawenge FANYA WEWE.
Yeah kama kipaji halisi uwezo wakupita na kila beat atakua nao, lakini kuna baadhi ya ma rapper baadhi ya beat kupita nazo changamoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwenye freestyle mi huwa naona fresh tu.. Kama talent ni real mtu anapita na beat lolote tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yeah kama kipaji halisi uwezo wakupita na kila beat atakua nao, lakini kuna baadhi ya ma rapper baadhi ya beat kupita nazo changamoto
Afu wanaule ujinga wa kuingizia beat mpya katikati ya nyimbo ambayo bado haijaisha.Nmeona huo utumbo kwenye dk 10 za maangamizi, dj kupangilia beat iendeane na flow ya mcee shida,..kiasi kwamba mcee inabdi Mic check 1,2 ziwe nyingi
Sikumbuki fresh maana niliacha ifatilia muda kidogo, nkipata nzuri ya kufatilia ntaleta feedback ya madj ambao wanazngua somtmz kwny kupangilia beat hasa hizi rap battle au freestyleAlikuwa Dj nani?
Hii kitu ili niboa mpaka nkaacha kuwafatilia. Climax bibo pia aliwahi kupita na zote.Afu wanaule ujinga wa kuingizia beat mpya katikati ya nyimbo ambayo bado haijaisha.
Hii inawaondolea focus wasanii na kujikuta wanaona bora waiskip hiyo nyimbo watafute ngoma nyingine ambayo flow zake zitaendana na hilo beat....
Yupo jamaa mmoja anaitwa nyenza alipita kigumu na beat zote bila mic check one two
Kwangu hakuna kama Cado Kitengo kweny 'freestyle off the top' na anaefuata ni toxic fuvu.Kibongo Bongo unahisi nani ni mkali wa freestyle?
Cado, mteganda toxic na papaa frege, hao ndio wanaweza kutembea na beat lolote na bado waka kukuhakikishia contents imesimamaYeah kama kipaji halisi uwezo wakupita na kila beat atakua nao, lakini kuna baadhi ya ma rapper baadhi ya beat kupita nazo changamoto
Ndo wanatusumbua mtaani hawa skrrr skrrr generation[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaobebwa na maproducer.
Hahahahaah... Kuna interview flani hivi ya Snoop Doggy anawaongelea. Kanifurahisha sana[emoji23]Ndo wanatusumbua mtaani hawa skrrr skrrr generation
Toxic Fuvu. Huyu kijana ni hatari sana.Cado, mteganda toxic na papaa frege, hao ndio wanaweza kutembea na beat lolote na bado waka kukuhakikishia contents imesimama
Ayeeeee aye ayeeee, kwenye CRB kitengo alikua anaua kinoma na hachoshi wakati unamsikiliza[emoji91]Kwangu hakuna kama Cado Kitengo kweny 'freestyle off the top' na anaefuata ni toxic fuvu.
Kinacho mtofautisha kado kitengo na toxic nadhani kado anauwezo wa kuswitch flow tofauti tofauti na mistari ya maudhi akiamua kukukandia anakukandia kweli kweli.
Pia jamaa ni bonge la entertainer ana vimaneno fulani hivi lazima tu ucheke na style yake ile ya kuchezesha kamguu Wakati akifreestyle.
View attachment 2000153
Mzee umemaliza kila kituKwangu hakuna kama Cado Kitengo kweny 'freestyle off the top' na anaefuata ni toxic fuvu.
Kinacho mtofautisha kado kitengo na toxic nadhani kado anauwezo wa kuswitch flow tofauti tofauti na mistari ya maudhi akiamua kukukandia anakukandia kweli kweli.
Pia jamaa ni bonge la entertainer ana vimaneno fulani hivi lazima tu ucheke na style yake ile ya kuchezesha kamguu Wakati akifreestyle.
View attachment 2000153