Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #141
Tatizo ni hawa madj wa huku ndio shida, dj kwenye playlist kazoeama kucheza nyimbo za nand afu kwenye freestyle battle eti anapewa authority ya kuchagua mabeatNadhani lakini ma Ma mcee wa freestyle sometimes wawe wanapita kwenye beat hata zile ngumu kumeza maana beat zilizo zoeleka wanazionea kinoma