P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Nadhani lakini ma Ma mcee wa freestyle sometimes wawe wanapita kwenye beat hata zile ngumu kumeza maana beat zilizo zoeleka wanazionea kinoma
Tatizo ni hawa madj wa huku ndio shida, dj kwenye playlist kazoeama kucheza nyimbo za nand afu kwenye freestyle battle eti anapewa authority ya kuchagua mabeat
 
Sijui unawakilisha wapi, nachafua tanzania nenda kawaulize wasafi.../

Niite moko wa miujiza, nishafanya mengi kipi utaniuliza.../
Tunaishi na ma genious sana, hawa jamaa huwa na hisi wana uwezo mkubwa pia wakufikiri zaidi ya hata watu wanavyo wafikilia maana track zao, verse zao ni [emoji91][emoji91] tupu
 
Tatizo ni hawa madj wa huku ndio shida, dj kwenye playlist kazoeama kucheza nyimbo za nand afu kwenye freestyle battle eti anapewa authority ya kuchagua mabeat
Nmeona huo utumbo kwenye dk 10 za maangamizi, dj kupangilia beat iendeane na flow ya mcee shida,..kiasi kwamba mcee inabdi Mic check 1,2 ziwe nyingi
 
Kama haupendi alichofanya mawenge FANYA WEWE.
mi ndo rapper best group kwa nyumba, hapa maboya wakijitusu wanadundwa.../

Tupo kwa hip hop sio zuku na rumba, tunafanya yetu vipi wanajitusu wanayumba.../

Mi nimwandishi mi nimi rapper mi ni entatainer, na bila ubishi niko hapa kuwakilisha vema.../

I do what I do sifosi unielewe, na ka unaona siwezi fanya wewe, easy
 
Nmeona huo utumbo kwenye dk 10 za maangamizi, dj kupangilia beat iendeane na flow ya mcee shida,..kiasi kwamba mcee inabdi Mic check 1,2 ziwe nyingi
Afu wanaule ujinga wa kuingizia beat mpya katikati ya nyimbo ambayo bado haijaisha.

Hii inawaondolea focus wasanii na kujikuta wanaona bora waiskip hiyo nyimbo watafute ngoma nyingine ambayo flow zake zitaendana na hilo beat....

Yupo jamaa mmoja anaitwa nyenza alipita kigumu na beat zote bila mic check one two
 
Hii kitu ili niboa mpaka nkaacha kuwafatilia. Climax bibo pia aliwahi kupita na zote.
 
Kibongo Bongo unahisi nani ni mkali wa freestyle?
Kwangu hakuna kama Cado Kitengo kweny 'freestyle off the top' na anaefuata ni toxic fuvu.

Kinacho mtofautisha kado kitengo na toxic nadhani kado anauwezo wa kuswitch flow tofauti tofauti na mistari ya maudhi akiamua kukukandia anakukandia kweli kweli.

Pia jamaa ni bonge la entertainer ana vimaneno fulani hivi lazima tu ucheke na style yake ile ya kuchezesha kamguu Wakati akifreestyle.

photostudio_1636106754834.jpg
 
Yeah kama kipaji halisi uwezo wakupita na kila beat atakua nao, lakini kuna baadhi ya ma rapper baadhi ya beat kupita nazo changamoto
Cado, mteganda toxic na papaa frege, hao ndio wanaweza kutembea na beat lolote na bado waka kukuhakikishia contents imesimama
 
Kwangu hakuna kama Cado Kitengo kweny 'freestyle off the top' na anaefuata ni toxic fuvu.

Kinacho mtofautisha kado kitengo na toxic nadhani kado anauwezo wa kuswitch flow tofauti tofauti na mistari ya maudhi akiamua kukukandia anakukandia kweli kweli.

Pia jamaa ni bonge la entertainer ana vimaneno fulani hivi lazima tu ucheke na style yake ile ya kuchezesha kamguu Wakati akifreestyle.

View attachment 2000153
Ayeeeee aye ayeeee, kwenye CRB kitengo alikua anaua kinoma na hachoshi wakati unamsikiliza[emoji91]
 
Kwangu hakuna kama Cado Kitengo kweny 'freestyle off the top' na anaefuata ni toxic fuvu.

Kinacho mtofautisha kado kitengo na toxic nadhani kado anauwezo wa kuswitch flow tofauti tofauti na mistari ya maudhi akiamua kukukandia anakukandia kweli kweli.

Pia jamaa ni bonge la entertainer ana vimaneno fulani hivi lazima tu ucheke na style yake ile ya kuchezesha kamguu Wakati akifreestyle.

View attachment 2000153
Mzee umemaliza kila kitu

Cado kwenye freestyle anaweza kukupa vitu vingi, body language yuko vizuri sana.

Kwenye freestyle anaku offer vitu vingi, unaweza ukacheka kwa lines, pia unaweza ukacheka kwa namna anavyo move

Ebu cheki freestyle za kijini alizopiga pale wasafi na namna anavyo switch....aaah msenge anajua sana tuache utani
 
Back
Top Bottom