TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

Naomba kuuliza na kifo cha mtoto huyo kimepangwa na Mungu. Mbona Mungu karuhusu watoto wadogo wateseke hivyo.

Kama kiumbe kinaumbwa nae kwa nini awaumbe wameungana?

Ngoja waje wafia dini zilizoletwa na mizungu na miarabu ili wawatawale with nonsensical answers.
 
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Mimi,kwa watoto walioungana kama hawa,na wakati huo walikuwa na umri kama hawa,tulifanya mpango wakaenda india,na wakatenganishwa.sasa hivi wapo vizuri kabisa na wana miaka takriban sita sasa.
 
Tumeendekeza siasa kwenye kila jambo. Ni uzembe fukuza waziri wa afya…
 
Naomba kuuliza na kifo cha mtoto huyo kimepangwa na Mungu. Mbona Mungu karuhusu watoto wadogo wateseke hivyo.

Kama kiumbe kinaumbwa nae kwa nini awaumbe wameungana?
unataka kuwachokoza wafia dini wewe.[emoji1787]
 
Hakuna cha Mungu hapo hatujafikia level za kufanya hizo operation
Mbona Operation kama hiyo ilifanyika nadhani miaka 3 iliyopita Operation ikawa successiful, hadi leo watoto waliofanyiwa wana afya njema kabisa na wanaendelea vizuri.
Kama sijakosea wanaishi mkoa wa Pwani, sikumbuki wilaya/mji/Kijiji./

Hivyo usidharau huduma zitolewazo na wataalamu wetu, uwezo wanao tena mkubwa tu!
 
Mtoto mmoja kati ya waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022.

Taarifa ya Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema ilibadilika ghafla akiwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU).

Aminiel Aligaesha amesema: "Nasikitika kukufahamisha kuwa mtoto Neema ambaye alitenganishwa na mwenzake Rehema amefariki jumapili ya tarehe 10 Julai saa 3 asubuhi. Akiwa ICU hali yake ilibadikika gafla, madaktari walijitahidi kurudisha hali yake bila mafanikio na hatimaye kupoteza maisha. Twendelee kumwombea Rehema ambaye bado yupo ICU ili Mwenyezi Mungu amjalie afya njema. Bwana alitoa na Bwana ametoa, jina lake lihimidiwe sana."
dah mtihani.
 
Nilitaka kushangaa tangu lini Tanzania tukawa serious kiasi hiki na kufanya vitu vikafanikiwa.
Sisi tuko bora sana kwenye kimasihara lakini vitu vya maana mhh...
Msinipopoe mawe wakuu
Some times hata sio mistake, shit will just happen no wonder.
 
Za dishi lililoyumba
Mkuu umechanganya mambo, dish lako ndiyo huwa linayumba lakini kwenye mada hii naona kiasi limekaa sawa japo ni kama linataka kuyumba tena. Panda miti kuzuia upepo, huu ni ushauri wangu kwako.
 
Pole mkuu kunywa dawa utapona
Mkuu umechanganya mambo, dish lako ndiyo huwa linayumba lakini kwenye mada hii naona kiasi limekaa sawa japo ni kama linataka kuyumba tena. Panda miti kuzuia upepo, huu ni ushauri wangu kwako.
 
Kwa mbwembwe na matangazo kama yote Walikataa kuwapeleka watoto watu India wakajitutumua , ona sasa matokeo yake , mnafanya majarbio kwenye maisha ya watu , hii imetokea pia majuzi , mwamba kaugua ghafla tumefika hospital fulan , daktar amefanya kaz yake , daah Wana tukaona hapa chenga , inabd tumkimbize hospital kubwa Zaid , aisee daktar si akazingua et anasema atakaa fresh tuuu , aisee kufika jion mchizi wetu akakata moto tulijilaumu kinyama kumsikiliza daktar wa mchongo

Wacheni lawama zisizo maana hata wasioumwa wanakufa tu kila siku.
 
Back
Top Bottom