we endelea kusaga tu! nyakati zi mwishoniKuna watu wanatokwa povu tu yeye kafa shoga kalaanika atachomwa moto (kama hakutubu) jee wewe? huna dhambi ni msafi?
Moto uleule si ajabu akawa pembeni yako siku ya siku
Haroo nimeacha hahahaha haha acha hizo
Mkuu tunaomba Picha tafadhali akiwa na uyo jamaa muarabuJamaa alikuwa na kampuni yake ya kupamba kumbi za sherehe, he was talented kwa kweli pia nasikia alikuwa amepiga shule mpaka Masters level . Love life yake from his Instagram pics, nyingi amekumbatiwa/ busiwa kimahaba na njemba mmoja la kiarabu so i assume alikuwa mwenza wake. RIP Herry.
we endelea kusaga tu! nyakati zi mwishoni
so ni njeree mboni jina la kimadoidoHad wamasai wanakuwa na hivi vitendo lord have mercy aiseee hatareeeee
alikua shoga mwislam unazungumziaje hilo bibi mdini?
Bibie unajua zaidi ya unavojifanya..Hao wanaokubali ushoga katika ukristo wanatumia mafundisho ya kikristo?Wanaokubali ni hulka zao tu kama wanaotumia Quran kuua innocent people kwa kisingizio wametumwa na Allah.Hakika ushoga haufundishwi kwenye Uislam cha kushangaza tunaona ushoga unakubalika katika Ukristo, hata wachungaji na maaskofu wanaoana na wanaume wenzao tena kanisani.
Hilo unaliongeleaje?
ndo nanihuyu ommy nimweke mbali kijana. wangu
so ni njeree mboni jina la kimadoido
Haaa haaa alikuwa he mkuuMkuu ni He au She! Huwa wanataka kutendewa haki katika kuitambua gender yao.
Mkuu tunaomba Picha tafadhali akiwa na uyo jamaa muarabu