Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Kuna watu wanatokwa povu tu yeye kafa shoga kalaanika atachomwa moto (kama hakutubu) jee wewe? huna dhambi ni msafi?
Moto uleule si ajabu akawa pembeni yako siku ya siku
we endelea kusaga tu! nyakati zi mwishoni
 
Jamaa alikuwa na kampuni yake ya kupamba kumbi za sherehe, he was talented kwa kweli pia nasikia alikuwa amepiga shule mpaka Masters level . Love life yake from his Instagram pics, nyingi amekumbatiwa/ busiwa kimahaba na njemba mmoja la kiarabu so i assume alikuwa mwenza wake. RIP Herry.
Mkuu tunaomba Picha tafadhali akiwa na uyo jamaa muarabu
 
Hakika ushoga haufundishwi kwenye Uislam cha kushangaza tunaona ushoga unakubalika katika Ukristo, hata wachungaji na maaskofu wanaoana na wanaume wenzao tena kanisani.

Hilo unaliongeleaje?
Bibie unajua zaidi ya unavojifanya..Hao wanaokubali ushoga katika ukristo wanatumia mafundisho ya kikristo?Wanaokubali ni hulka zao tu kama wanaotumia Quran kuua innocent people kwa kisingizio wametumwa na Allah.
 
Mkuu tunaomba Picha tafadhali akiwa na uyo jamaa muarabu
12356531_432107183654953_1115099108_n.jpg


hii ni recent i.e. December walienda wote USA, sasa kuna pics nyuma zaidi kwenye instagram ya Paco just search utaelewa huyo mwaarabu yuko vp naye. Kuna moja wanapongezwa 'nice couple'.
 
Kwa hiyo hapa ni bibie Haroub na mumewe Sheikh Omary wakiwa USA duh sipati picha wangekua John na Alex umu ndani kungechimbika wale manyang'au wangejaa na uzi ungefika platnum ila wanapita kama hawauoni hii picha nitaitunza najua utaibuka tu uzi ambao itahitajika.
ImageUploadedByJamiiForums1457539723.623848.jpg
 
Ni kweli kila mtu atakufa na kila mmoja ana dhambi so tisihukumiane. Lakini hii isiwe sababu ya kutetea ushoga na mashoga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom